hahaha!dena huyu dada alivumilia sana mi nadhani mwezi ungetosha mwezi wa 2 ningempa kama bonus,,,,hafai najua hata wewe unajua hivyo,,lolz

Mie nawashangaa sana miaka tisa kacumilia leo yamemkuta yapi??
wanaume hawa mnawatoa wapi???????
mbona wengine hatuwapati hao wanawake wa kujigharamia kila kitu??????????
where???????????
bora na ww ushangae mydear!!wapo lkn wasiliana na nnunnu,,lolz
ili ujue kuwa tuko nae kundi moja hebu msome hapo juu,,,,mi naona huyu dada ana ile love is blind i wish ningemuona nimtunuku

Hebu niambie kipi bora atume pesa au Ribena halafu yeye mwenyewe asionekane
mwambie heri nusu shari,kashavumilia vya kutosha atue mzigo sasa wanaume wa mungu wako wengi,,,,huyo akiingia nae kny ndoa ataweka mikono kichwani
just out of experience, asijaribu kuolewa na mtu wa aina hiyop, atajuta....ana bahati amekaa naye muda mrefu na kumsoma.
Au niiweke hivi..... Ana bahati amepata wasaa wa kumjua ipasavyo kabla hajaolewa, kilichobaki ni afanye uamuzi kama ataweza kujilipia hadi fee za clinic wakati wa kujifungua, kununua maziwa ya mtoto na kumtibu anapoumwa, na hata kusomesha watoto, akijiona hayo atayamudu bila kuumia roho aolewe, na kama anajua hataweza kuvumilia aache, lakini asitegemee kuwa jamaa atabadilika. Nine years should be long enough for her to realize what kind of a man she has.