Je mwanamke huyu nimchukulie hatua fulani?

Je mwanamke huyu nimchukulie hatua fulani?

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
748
Reaction score
790
Ndugu wanajamvi jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi chá rafiki yangu alimaarufu senzo majeshi mnyamwenga.
Mpenzi wake senzo alisafr kwenda mwanza kufanya kumsalimia dada yake.


Akiwa jijini mwanza jana alifanya birth dy akiwa na mtoto wa uncle wake na pia alimualika jamaa mmoja huwa wanasoma nae chuo kwa maelezo ya huyo binti anavyodai.



Wakuuuu mzeee senzo alitumiwa hizo pichá na huyo bidada za birthdy pia yule dada aliweka wassup status akiwa anamlisha keki yule jamaaa kuwa Naomba nimnukuuu""I cant explain how this people make me feel happy. Mzeee senzo anaishi sinza madukani jana mafuriko yalimkuta akawa cm hainachaji asubuhi anaaamka anaona kitu hicho alichomuambia futa hio wassup status yule dada aliifuta.


Ndugu zangu huyu dada yy anawivu sana senzo anasoma masters udsm hana kazi kazi yake kuu kubet lakini anakimbiza mjini kama anafanya TRA na masters anajisomesha senzo akipiga picha na mdada yyte macho huyo bimkubwa ataongea siku nzima
jana yy anajitetea nasoma nae Tu senzo akasisitiza futa.
Naombeni mawazo wana jf senzo amfanyaje kwa zarau aliyomuinyeshea karbuni
 
Kwan we huyo senzo ni nan ako......maana naona umeumia kumliko ata mhusika Mwenyewe.
 
Aisee chief hebu kaa tulia andika kitu kinachoeleweka...au wewe ndiye mzee senzo bado una mawenge kichwani?
 
Kwa uandishi huu..?!! namimi nampongeza aendelee kuiba mwisho achukue kabisa. Safi sana senzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom