Je mwanamke akiwa na mimba bleed yake inakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mwanamke akiwa na mimba bleed yake inakuwaje?

Discussion in 'JF Doctor' started by NNC, Jun 26, 2012.

 1. N

  NNC Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr naomba niulize, mi nina mke wangu alafu nimepiga game siku zote za hatari lakini naona damu inamtoka alafu sio nyingi na wakati bado ajamaliza circle yake? Hila bado sijampima mimba.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Wewe kweli mgeni, humu sio kwa madokta humu ni malalamiko na pongezi tu. Ngoja mods wakusaidie kuipeleka kule kwa madokta
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Damu hutoka nyepesi sana halafu huwa inatoka kidogo.
  Ila kama mmefanya hivi karibuni hilo tendo la ndoa, jaribu kusubiri kama wiki tatu halafu apime mkojo kwa kutumia UPT. Mtajua kama amepata mimba au lah!
   
Loading...