Kanuni na Sheria za uendeshaji za vyama vya siasa si zipo wazi mkuu? Hivyo msajili kazi yake ni kupiga spana zake tu. Na huo ndio wakati wa Mwamba kufungukaMwamba hana option nyingine bali aje tupiganie No Reforms...ile mbinu ya CHAUMA ishabuma mapemaa- mapokeo ni zero.
Msajili hana justification yoyote ya kuifuta CDM - hana uwezo huo na hana mamlaka vilevile.
Ni ujinga kuamini Chadema haiendeshwi kwa kufuata sheria na haiwajibiki kwa chombo wa mtu yoyote. Na ujinga wenu ushaanza kuwagharimu na bado!Mwamba hana option nyingine bali aje tupiganie No Reforms...ile mbinu ya CHAUMA ishabuma mapemaa- mapokeo ni zero.
Msajili hana justification yoyote ya kuifuta CDM - hana uwezo huo na hana mamlaka vilevile.
Kifungu gani cha Sheria ya Vyama vya Siasa, ambacho hakifuatwi na Chadema au ni vifungu vyote vya hiyo sheria?Salut wanaJF!
Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao.
Je Mwamba anasubiri CHADEMA IFUTWE? ili next move ifanyike?
Atailinda chadema kwa wivu mkubwa🤣🤣🤣🤣😁Salut wanaJF!
Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao.
Je Mwamba anasubiri CHADEMA IFUTWE? ili next move ifanyike?
Huo ni mpango wa TL na FM ni mole wote, mnachezewa picha la kihindi govindaSalut wanaJF!
Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao.
Je Mwamba anasubiri CHADEMA IFUTWE? ili next move ifanyike?
Itoshe kusema msajili ni moja ya wapumbavu waliosoma lakini hawakuelimika! Msomi mzima unapelekeshwa na akina Musukuma?Kifungu gani cha Sheria ya Vyama vya Siasa, ambacho hakifuatwi na Chadema au ni vifungu vyote vya hiyo sheria?
Kifungu kilicholalamikiwa na Lembrus Mchome kwa msajili, hii ilipelekea CHADEMA kunyukwa barua Kisha kusitishiwa RuzukuKifungu gani cha Sheria ya Vyama vya Siasa, ambacho hakifuatwi na Chadema au ni vifungu vyote vya hiyo sheria?
Mbona Kawa mkimya sana wakati huu ambazo babe wake (Chadema) anapitia tanuru la moto?Atailinda chadema kwa wivu mkubwa🤣🤣🤣🤣😁
Kwa hiyo, mtu akilalamika ni sawa na kusema anayelalamikiwa hafuati sheria? Hebu justify kauli yako kwa kutafakari pia presumption of innocence. Je, ni kweli kwamba nikihisi/amini X ni mwizi, anakuwa mwizi kuanzia muda huo?Kifungu kilicholalamikiwa na Lembrus Mchome kwa msajili, hii ilipelekea CHADEMA kunyukwa barua Kisha kusitishiwa Ruzuku
HIVI KUNA VILE VYAMA MFU AMBAVYO VINATOKEA TU WAKATI WA UCHAGUZI...HIVI VILE VINA SHERIA NA HAKI KWELI YA KUWA CHAMA CHA SIASA.?Salut wanaJF!
Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao.
Je Mwamba anasubiri CHADEMA IFUTWE? ili next move ifanyike?
Hoja Yako Ina mashiko sana mkuu🤔 hii inahitaji Uzi kabisa kwa mjadala. Vyama kama Jahazi asilia, Tadea et al sidhani hata ofisi ya Kodi 20,000 kwa mwezi wanayo😀HIVI KUNA VILE VYAMA MFU AMBAVYO VINATOKEA TU WAKATI WA UCHAGUZI...HIVI VILE VINA SHERIA NA HAKI KWELI YA KUWA CHAMA CHA SIASA.?
Mwamba anahitajika kuokoa Jahazi lisizame wakati huu kuliko wakati mwingine wowoteMwamba kazira
Lembrus Mchome na Msajili ni wapenzi wa jinsia moja. Msajili amemuweka kinyumba Mchome huko MasakiKifungu kilicholalamikiwa na Lembrus Mchome kwa msajili, hii ilipelekea CHADEMA kunyukwa barua Kisha kusitishiwa Ruzuku