Kuna shina, MAJANI, maua, na mizizi ya muwa. Kwa hiyo ukisema muwa tu swali linakuwa tata. Labda ungeuliza kipande au sehem, kama ni sehemu tutakula kile ni kipande cha muwa(kipande cha shina LA muwa)
Muwa ni mmea ambao sehemu yake ya shina ndio huhifadhiwa virutubisho, hutumika kama kiburudisho kwa binadamu, pia baadhi ya wanyama hutumia kama chakula chao.
Sio tunda, pia sio kinywaji maan kinywaji huwa katika hali ya kimiminika tayari ( hata tunda likisagwa sio tunda tena, ni juisi au kinywaji )