Je, Muwa ni tunda?

muwa ni mboga mkuu ushawahi kula majani ya muwa?
 
Hahahaha,leo hii post imenichekesha sanaaa,
Maana majibu yake ya ajabua jabu kweli.
Sijui maharage yatakuwa kundi gani kwa baadhi ya tafsiri hapo juu
 
Kijana soma tena soma sana u catch up na kile ambacho hukusoma form one.
Swali ulilouliza ni la darasa la tisa, kuekezea tofauti kati ya kingdoms sita za viumbe.
Soma somo la biologia ya form one na elimu yako ya viumbe utaipa haki.
 

Sasa mkuu ikiwa mmea wowote ili uwe tunda lazima utokane na mbegu kama ulivyoelezea hapo juu je MASHELISHELI na NANASI pia sio MATUNDA? make haya nayo ili kupata zao lake tunatumia shina kupanda same like hiyo MIWA.
Ufafanuzi tafadhari.
 
Mkuu umeeleza vizuri sana na wanatakiwa wakuelewe. Kwa nyongeza tu, muwa ni shina ambalo limekuwa modified kwa ajili ya kuhifadhi chakula (ndo huo utamu tunao meza wakati tunatafuna muwa). Pia shina hilo hilo limekuwa modified kwa ajili ya asexual reproduction.
 

mkuu upo vizur sana nashawishika kuamini
 
Hahahahaha,
Aisee huyu alieleta swali hili sijui ametokea wapi.
Hahaha,maana humu kuna majibu gongana kwenye tafsiri ya Tunda.

Mpaka sasa bado hoja zinagongana,wahitimu wetu SUA inamaana hata hili swali mmekimbia?au ndio mambo yale hadi tupost kwenye forum za wakenya kule ndio watujibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…