Je, MUNGU ni mwizi?

Dhambi zote atakazozifanya mwanadamu atasamehewa..lakini dhambi ya kumkufuru mungu iyo hatasamehewa kamwe na ni dhambi ya mauti
 
Mungu kamchoma Adam diazepam na Adam kalala fofofo Kama kapigwa General Anaesthesia hivyo bwana Mungu akafanya Laparatomy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alikuwepo wakati Huo? Unao ushahidi wa Nabii Musa kusema au kuandika maneno hayo?
nin point yako kubwa kwahy unamaanisha kuna watu waliyaandika kwa manufaa yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…