Je, muda gani kiafya unaruhusiwa kutumia kilevi baada ya kutumia dawa?

Mungu kakusaidia kakupa ugonjwa ili ufanye mazoezi ya kuacha kilevi we bado unauliza athari za kunywa dawa na pombe
Acha pombe ww
 
nash2010,

Haifai kwa mwanadamu mstaaraabu kutumia hicho kilevi. Ulevi ni sifa mbaya na ni jambo la aibu. Very short & very clear. Ova


.
 
We Mamndenyi , cpt na Ngongoseke hivi mnampenda kweli mwenzenu!mkisikia amekufa mtaanza kutoa RIP kibao humu,iko hivi mkuu piga dawa,kaa wiki pima kama alivyosema Arushaone then kama vimelea wameisha gonga mvinyo kama kawa,ingawa wengi huwa hatupimi ka-wiki kakikatika tu na unajisikia uko fiti unakadamiza kinywaji.usifuate huo ushauri wa hao wakuu hapo juu maana mimi nimempoteza rafiki yangu kwa jambo hilohilo,alikunywa dawa akasahau kuwa amekunywa on the same day akalamba pombe hakufikisha hata nusu glasi alidondoka chini na ukawa ndio mwisho wa uhai wake.:A S-fire1:

Hivi issue ni kuwa dawa haitafanya kazi ama ni kuwa pombe itasababisha kifo.
 
Kiukweli me stress zahizi dawa za kizungu ndio zimenifanya nipende sana mitishamba.najichemshia mualovera namix muarobaiini na magome yake nakunywa grass moja asubuh moja jioni kwa week angalau siku tatu.magonjwa ya kizembekizembe siumwagi.nikumwa ujue nataka kutega kazini tu.

Ila midawa ya kutwa mara moja ogopa sana.yanakuaga sumu sana yale na yanakutoa povu on the spot.jitahidi angalau siku4-7 na kwa kuanzia anza na bia laini laini.

Usifakamie makonyagi na mabia aina ya balimi sjui eagle !!!tutakuzika.kua makini na dawa za mzungu kwan hazijawah kumuacha mtu salam...
Hii dawa ya Alovera + Muarobaini nitaifanyia kazi, naona malaria inataka kunizoea. Mwaka mpya unanipita hivihivi bila Monde sababu ya mseto!
 
Habari
Mie naomba msaada nimkunywa mseto kama miez miwili au mitatu ishapita napatwa na kizunguzungu, nimejaribu kupima kila tu sins tatizo sasaiv nimepimwa navaa miwan lakini bado kizunguzungu kiko pale pale nimepitia mijalada humu ndan nikaona kumbe hizo mseto zinamezwa kimasaa wakati mid nilimeza kila baada ya masaa name nikamaliza dozi sasa nilikuwa naomba kujua inaweza ikawa nilijioverdose ndomana napatwa na hichi kizunguzungu?
Mkuu mwisho wa siku uligundua tatizo ni nini? Hilo tatizo nami huwa linanitokea ila now nahisi chanzo ni macho.
 
Watu wanatishana sana kwenye huu uzi, nimemaliza dose ya mseto siku ya nne leo lkn baada ya kusoma michango ya wadau imebidi niwe mpole nisubiri hizo siku 7 japo nateseka sana! Nitacheza na watoto nyumbani, Kheri ya mwaka mpya kwenu nyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom