Je mtu ukipostpone masomo Katika vyuo vya Tanzania unaweza kuendelea Marekani?

Masomo utaendelea ila si ulipoishia, utaanza upya. kwasababu huku postpone marekani, kama umekula chakula nusu nyumbani kwako usijipe amri ya kwenda kumalizia kwa jirani kisa tu uliacha chako nusu, nadhani umeelewa.
 
Duuu ni hatari kwakweli. Kupostpone means kuahirisha kwa muda baadae utaresume uendelee. Na unapoahirisha inamaana tayari unanafasi kwenye hiko chuo lengo ni kusecure ile nafasi yako, sasa utaahirishaje UDOM ukaendelee SAUTI?

Au labda sijakuelewa? By the way kila chuo kinautaratibu wake.

Au unamaanisha umepata post ya chuo kingine Marekani na ya huku bongo hutaki kuipoteza?
 
GED ndo course gan bro! Mi ninasoma bachelor ila nimepata chuo USA na wadhamini wapo je process ikoje
Utaenda kuanza moja huko Marekani. Ya bongo yaachie Bongo. Amua mwenyeww,uende ukaanze moja kwenye vyuo vyenye heshima au utabaki hapa kuendelea na masomo yako?

Hakuna cha zaidi utakachokipoteza zaidi ya muda uliotumia kusoma hapa Bongo.
 
Back
Top Bottom