Je, Mtoto wa kambo ana haki ya kurithi mali?


Wanaume tumechoka manyanyaso kutoka kwa wake zetu...lazima tutafute haki zetu kwa nguvu zote
 
Kitakachouua wewe ni mkeo, mume aliyezaa naye na huyo mtoto wa kambo.

Mtoto msomeshe hujui kesho yake.

Mali hauondoki nazo, wagawie watoto wote sawa,...

Tatizo kwenye kudai haki hawa wavaa madera ni double standard huwa wanawaza haki zao...sijui huwa wanahisi sisi hatuna mioyo...hata kwa uongo huwa mwisho wa siku wanashinda kesi...wanawake ni nyoka.tena nyoka wa sumu mbaya sana...ndo maana tunafundishwa kuishi nao kwa akili..
 

Kuowa mwanamke mwenye mtoto ni kujitakia stress tu..mwisho wa siku ni kutafutana uchawi tu...kama amezaa apambane na hali yake tu...
 
Mkuu una tatizo kubwa la ndoa. Kabla ya kuhangaika kusovu tatizo la mirathi tafadhali shughulikia kwanza tatizo la ndoa. Hio ya mambo ya kurithi ni secondary ila chanzo ni ndoa yako ishapigwa dhoruba
 
Kuhusu mali kukukuta nazo ulipaswa kuweka hilo wazi mapema kabla hata hamjaoana, yaani ulipaswa kuziandika na uwe walau na uthibitisho, i.e risiti/nyaraka za miaka ya kabla hamkukutana/oana.

La sivyo mkishatibuana na Mke akajua ulipobugi anashikilia hapo hapo.

Ingawa hilo ni gumu kwani mara nyingi penzi linapoanza wote mnakuwa kama vipofu.

Kuna jamaa yangu aliandika gari jina la Mke wake katika hali ya kuonyesha mapenzi moto moto, leo miaka kadhaa baadae na wamegeuka Paka na Panya kila Mtu na lwake, jamaa anataka auze gari, gari haliuziki maana jina si lake...akimtafuta Mwanamke anamwambia unataka kuuza gari langu.
 

Maneno mengi, point mbili tu. Kiufupi umeshangaza.. Mnakera sana. Yaani unategemea apate matunzo sawa na ya watoto wake wa damu?
Wakati baba ake yupo anadunda tu kitaa?

Never ever!

Atapata matunzo safi.. lkn kamwe siyo sawa na ya watoto wa damu. Kamwe. Hii ni pamoja na kukosa priorities.. Nature ndo ipo hivyo.
 
Nyie ndio mnakera. Utake atumie jina lako halafu nikate mawasiliano na baba yake halafu usihudumie ipasavyo?

Nifanye hivyo kwaajili gani sasa? Alilazimishwa kunioa nikiwa na mtoto au ni kiherehere chake tu. Ndio maana tunawatafutaga baba zao...kikubwa ni makubaliano mliyoingia mwanzoni. Mambo ni mengi..si kila kitu nimeandika hapo.

Mi wala sina tatizo sana, silazimishi mtu ahudumie..akishindwa natafuta another alternative, asilalamike tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndoa yenu ina Hali gani Kwa sasa?
 
Hivi siku hizi akili zinauzwa ghali sana kiasi kwamba wengine tunashindwa kununua? Mbona majibu yako wazi?!!! Mtoto wa kambo anamrithi MAMA YAKE MZAZI na sio baba wa kambo...
Umeongeea vizuri sana hapa. Naunga mkono ulichokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…