Je mtihani wa mwisho ni kipimo sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mtihani wa mwisho ni kipimo sahihi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Nov 8, 2011.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Mitihani ya darasa la 7,form4,form6,inayotolewa na necta,unadhani ni kipimo cha mwanafunzi bora,yani elimu ya cheti.
   
 2. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Ahh Bumija kitambo sana sijaona maswali na michango yako JF,vipi na wewe ulienda kumsupport Cameron kuhusu haki za mashoga nini???

  Okay,back to the topic ni kwamba NECTA inabidi ibadilishe mfumo kwani huwezi kugundua au kuujua uwezo halisi wa mwanafunzi kwa kutumia mitihani ya wiki moja au mbili.
   
 3. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Labda ni njia gani mmbadala inaweza kutumika?
   
 4. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Mwangu assignment na msuli vinabana,ni adimu mana kuanzia monie hadi sa night mapindi.
   
 5. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  kaza kijana umalize huje ule bench kitaa kaka zako wanasugua mbaya tena na hizo BA ndio noma zaidi bora BSC.
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwanza elimu ya bongo kuanzia chekechea mpaka chuo imechakuliwa mno....yani ipo hovyo-hovyo sana.
  Waziri wa elimu ana uwezo wa kulala na mke wake, wakamwangalia mtoto wao wa kike au wakiume na kuona hapendi mpira(ye na game game na yeye), basi akaja na kutangaza michezo hamna. Toto likiwa kilaza kesho utasikia, hesabu zifutwe mashuleni.

  Just angalia mitaala inavyochange kila uchao, serikali kwa sasa haina hela, wakasema mitihani ya darasa la 4 na form 2 waafute, baadae walivyoona wameikwaa wameirudisha tena wakati serikali ipo hali mbaya. Vipi ulishagundua mitihani ya form 4 mwaka huu imefanyika ndani ya wiki 1 tu. 7 days equivalent to 4 yrs!! Ilimradi wanafunzi wakakae nyumbani kwani serikali haina hela ya kuwalipa walimu wasimamizi.

  Elimu uchwara inayotolewa tanzania kwa sasa haina future, most of us tunategemea kuajiriwa, idadi inatisha ya jobless people huku kitaa, waliopo makazini zaidi ya 50% wana vyeti bandia, uswahili mwingi kwenye taasisi, elimu duni...yaani mambo mengimengi tu.
   
 7. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  nimekubali mkuuu
   
Loading...