Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,245
- 2,128
Akisafiri mzaramo kaenda ngomani ila akisafiri mchaga kaenda kusalimia wazee.
NOTED. Picha haihusiani na msemo huo
Pole sna mkuuu,mm nalilia moyon maana ata machoz yakinitoka stopata faida yoyotewakibomolewa kimara FRESH,mwanza hata kama wamevurunda HAPANA KUBOMOA,naishi mwanza ila hili limeniumiza sana!yale yale ya watumishi hewa then MAKONDA simgusi!