Je, msajili wa vyama vya siasa ana uwezo wa kufuta chama kilichopo madarakani?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Sijajua ni kanuni gani au sheria gani msajili anatumia kulingana na madaraka alionayo lakini ikitokea labda chama cha siasa kilichopo madarakaani kikatokea kimeshindwa au kumefanya kosa ambalo ni kubwa, je, na uwezo wa kukifuta? Na ikitokea labda amefuta hivi nini itatokea?
 
Hawezi wala hata kutoa onyo hawezi pia

Anawajika kwa mamlaka ya utezi wa kula yake. Ambayo kimsingi nichama tawala

Ameteuliwa na ameajiriwa na chama tawala

Anapewa mshahara kwa matakwa ya chama tawala ila anasahau nikodi ya kila mtanzania.

Anapewa ulinzi kwa matakwa ya chama tawala ila anasahau nikodi ya kila mtanzania

Yupo hivo alivo kwa matakwa ya chama tawala

Je? Anapenda kilichomtokea CAG kimtokeee? Sidhani.

Chochote afanyacho nikwamaslahi mapama ya mamlaka za kiuteuzi na hawezi kufanywa kama CAG.

Tume huru ya uchaguzi pekee itatupatia msajiri huru atakayewajiba nje ya utumikishwaji wa chama tawala.

Msaji
 
Taifa letu Demokrasia baado sana

Tunacheza kwenye tope zito la ujinga, uoga na upumbavu.

Wajinga na wapumbavu niwengi zaidi ya chochote

Wameshika nyadhifa
Wanaongoza taasisi nyeti
Wamejazana sehemu zote muhimu

Ndio maana wanapotokea watu
Werevu
Wenye maono
Bora kiakili na kiweledi
Wenye ndoto sahihi kiuongozi na kiutawala

Basi hupigwa vita, kuzushiwa, kuminywa, kutishwa, kufanywa mambo yaajabu na hatimae hujikalia kimya yaishe.... hutendewa na kundi la walee walioshika taasisi zote muhimu

Maana wanaosaidiwa nawao wajinga na wapumbavu, wamejaa hofu, uoga na kukubali uoza wa aina yoyote na hawatoi msaada wala sapoti kwa wachache walio na maono bora kiuongozi na kiutawala.

Taifa la malofa
 
Ndio mfumo wa ujamaa ulivo umejengwa kwenye hofu,ujinga na umasikini ili kuwatawala watu.Mifumo ya kijamaa utakiwi uruhusiwi kuwa maarufu kuliko anayekutawala zaidi ni lazima uchezee risasi, uhujumu uchumi,kufilisiwa,nk,haya madhila ni lzm yawakute wasomi na matajiri maana Hawa ndo wepesi kuzing'amua propaganda za watawala.
 
Kwa hiyo yuko pale kwa kiti cha chama tawala hata hicho hicho chama kikifanya kosa haruhusiwi kukiuliza.
 
Duu.mbona umetoa kwa hisia sana.
 
Asee. Kwa hiyo ni ruksa kufuta au kukemea vya upinzani lakini kiletawala ina maana harihusiwi kabisa
 
Kwa hiyo yuko pale kwa kiti cha chama tawala hata hicho hicho chama kikifanya kosa haruhusiwi kukiuliza.

Huwezi kukata shingo ilobeba kichwa chako, lazima ufe.

Kazi yako inaweza kuwa kukata shingo za vichwa vinavotishia uhai wako upitapo msituni.
 
Kwa maana hiyo ilitakiwa asiwepo chama kama chama kikasajiliwe na chombo kama mahakama au kituo cha polisi maana kama ni hivyo huyo msajili yuko pale kukandamiza upande mmoja basi.
 
Ndio maana tumehuru inaweza kutenguwa mzizi wa fitina
 
Ni mimi tu ambae sijaelewa au vipi?

Chama kinawezaje kuwa Madarakani ikiwa Kimeshindwa!?
 
Back
Top Bottom