Je, Msabato asiyemuamini Mama White kuwa Nabii atafutwa ushirika wake?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye hoja moja Kwa moja

Je, ukiwa Msabato yaani mshirili.na hautaki kumuamini Mama White kuwa yeye Nabii, Nini kitatokea? Utabakia kuwa na ushirika?

Mlale salama wapendwa
 
... hivi nabii ni nani? Na sifa zake ni zipi? Kwa vigezo vipi? Vilivyoidhinishwa na nani? Kwa utaratibu upi?
 
Sasa kama dhehebu linafuata taratibu na misingi ya huyo nabii wao wa uongo kwanini usionekane umekengeuka?

Hata hivyo watu ni wabishi sana hata hiyo biblia ilishasema watakuja watu wa aina hiyo watakaojipa kila aina ya utukufu na vyeo vya kiroho kumbe ni waongo.

Ili uwe na sifa ya kuwa nabii,mwalimu, mtume, ni lazima uwe mentioned na hicho kitabu cha dini yako kuwa utatokea ktk nyakati fulan, utakuja kwa mission fulan na utatimiza mambo fulan na utawekwa wakfu/kupakwa mafuta ya utumishi na Fulani.

Sasa jiulize je ,kama manabii na mitume woote ktk biblia walishatajwa kazi watakazojia pia walifuata taratibu ya utumishi wao kwa kuwekwa wakfu na mpakwa mafuta aliyethibitishwa na Muumba&jamii, je hawa wapuuzi wa leo wanaojiita manabii na mitume hayo maprocess ya Utume wao nani kathibitisha? Wamepewa utume upi? Kwa njia ipi? Na wamepakwa mafuta/kuwekwa wakfu na nani? Kwa uthibitisho wa andiko gani? Na wana mission gan hapa duniani?

Ukijiuliza haya maswali utagundua kuwa Tangu kuondoka kwa kristo wa kweli na mitume na manabii wake, hakuna mtume tena, mwalimu, mchungaji,nabii, wala hao wanaojiita wainjilisti, bali kuna wahuni na wapinga kristo waliovikwa vitambaa vya kishetani(dini) wakitudanganya kupitia uongo(biblia&quran) kuhusu Mambo ya kiroho.

Dini zote ni takataka.
 
Sasa na huyo kristo unajuaje ni wa ukweli na sio story za watu
 
Sasa kama huendani na mafundisho ya mama huyo muasisi wa usabato utabaki hapo kufanya nini wakati huna imani naye? Utafukuzwa tu. Kwenye imani ukionekana huendani na code za imani hiyo wanakutimua wakikuona ni mdhambi na umeshindikana kuamini
 
Sasa kama dhehebu linafuata taratibu na misingi ya huyo nabii wao wa uongo kwanini usionekane umekengeuka?

Hata hivyo watu ni wabishi sana hata hiyo biblia ilishasema watakuja watu wa aina hiyo watakaojipa kila aina ya utukufu na vyeo vya kiroho kumbe ni waongo.

Ili uwe na sifa ya kuwa nabii,mwalimu, mtume, ni lazima uwe mentioned na hicho kitabu cha dini yako kuwa utatokea ktk nyakati fulan, utakuja kwa mission fulan na utatimiza mambo fulan na utawekwa wakfu/kupakwa mafuta ya utumishi na Fulani.

Sasa jiulize je ,kama manabii na mitume woote ktk biblia walishatajwa kazi watakazojia pia walifuata taratibu ya utumishi wao kwa kuwekwa wakfu na mpakwa mafuta aliyethibitishwa na Muumba&jamii, je hawa wapuuzi wa leo wanaojiita manabii na mitume hayo maprocess ya Utume wao nani kathibitisha? Wamepewa utume upi? Kwa njia ipi? Na wamepakwa mafuta/kuwekwa wakfu na nani? Kwa uthibitisho wa andiko gani? Na wana mission gan hapa duniani?

Ukijiuliza haya maswali utagundua kuwa Tangu kuondoka kwa kristo wa kweli na mitume na manabii wake, hakuna mtume tena, mwalimu, mchungaji,nabii, wala hao wanaojiita wainjilisti, bali kuna wahuni na wapinga kristo waliovikwa vitambaa vya kishetani(dini) wakitudanganya kupitia uongo(biblia&quran) kuhusu Mambo ya kiroho.

Dini zote ni takataka.

Imani ya kikristo haina ukomo wa manabii na mitume,hata yesu alisema mkiamini mtaweza kufanya makuu kuliko aliyoyafanya yeye,kuna mahali pia inasema vijana wataota maono na wazee watatabili so acha waamini hivyo wanavyo amini.
 
... hivi nabii ni nani? Na sifa zake ni zipi? Kwa vigezo vipi? Vilivyoidhinishwa na nani? Kwa utaratibu upi?
Nabii Suguye, nabii mkuu wa manabii GeorDavie, nabii Malisa, nabii Mwacha nk njooni huku mumjibu huyu dudus swali.
 
Back
Top Bottom