Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 121
- 276
Ndoa zinawapelekaje wadau au pamekuwa pagumu.
Ya kwangu iko poa sana, vipi ya kwakoNdoa zinawapelekaje wadau au pamekuwa pagumu.
Kitambo sana mkuuKarudi kwao kusalimia 😇
Ina ugumu gani na uliondoa scrotumNdoa ngumu kwel
Muendelee hivohivo siku zote!Mimi na kipenz changu mama amina penz lazid kushika moto
Umeulizwa?Mimi na kipenz changu mama amina penz lazid kushika moto