Je, mpaka wa Tanzania na Uganda umefunguliwa?

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,338
Kwa anayejua kama mpaka wa Tanzania na Uganda kama umefunguliwa na ikiwa shughuli zimerudi kama zamani. Nina safari ya muhimu huko
 
Mpigie simu mh Paramagamba kubudi, yeye anajua kila migogoro ya mipaka ya nchi hii
 
Hivi unashindwa tu kwenda hapo Ubalozini Kwao au Kupiga tu Simu Wizarani au Ubalozini Kwao upate Majibu kuliko Kutupotezea Sisi Muda hivi?
 
Mpaka wa TZ na UG bado umefungwa kwa shuguli zote za kijamii. Isipokuwa kwa usafirishaji kutumia gari ya mizigo. Gari toka Tzz itaingia Ug ikiwa na Dreva aliyepimwa bila tingo. Kuingia Tz kutoka Ug hamna shida kubwa. Abiria mwenye shida sana kuingia Ug anatumia njia ya panya kuvuka mpaka a kisha panda pikipiki hadi Kyotera. Kutokea hapo unaweza pata matatu hadi Kampala.
 
Boda boda Hadi kyotera? Sio mchezo !

Sent
 
Back
Top Bottom