View attachment 158748 Katika pita pita nimeona hii picha ya huu mnazi. Wanasema upo Zanzibar, je ni kweli? Kialama unashiria trident mkwaju unaotumiwa na shetani.
Minazi isiyo ya kawaida nimeiona sehemu za Kisiju kama mnazi mweusi inayotumika kwenye matambiko na minazi iliyopinda pinda mfano wa nyoka. Wenye picha watuwekee.