Mbezi vurugu ni nyingi sana hakufahi hata kuishi km upo serious, ni sawa na Mbagala. Watu wengi bila mpangilio alafu wamekariri kununua kila kitu Kkoo.Mbona hawa jamaa route ya Mbezi To Kivukoni na Gerezani zimewashinda kuziudumia vizuri sasa wakianza route huko mbagala itakuwaje
Tunakuwa tunatengeneza Tatizo kabla halijaisha tunatengeneza tatizo jingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua Mimi mawazo yangu nisingejenga ile mfugale bora tungesubiri pesa ya kutosha chombo kingeanziwa kusukwa toka bugurun mataa...sasa pale ule n uchafu na kile ni kijidaraja ka salender tuuNi nini ambacho kiko tofauti na design pale Mfugale??
ila mkuu mbagala imezidi kuwa na watu wengi sana ukishi kule haina haja ya kwenda k/koo labda kwa bidhaa adimu lakini vitu kama nguo, vifaa vya ujenzi, vyombo vya nyumbani thamani za majumbani simu na electronics kwa ujumla, mahitaji ya Sokoni mbagala pamekamilikaMbezi vurugu ni nyingi sana hakufahi hata kuishi km upo serious, ni sawa na Mbagala. Watu wengi bila mpangilio alafu wamekariri kununua kila kitu Kkoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye matelevision makubwa tuona kabisa utofauti wa vituo vyetu vya treni na mabasi hakuna cha 3D wala niniNanyinyi wabongo muwe mnajiongeza, unapotazama 3D images or videos, bas ukumbuke kuwa ule ni mfano wa uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Make a difference btn flyover & an interchange then come back to conversationTofauti ni kwamba kwenye mchoro ilikua "flying over" ila kilichopo ni daraja linalopita juu ya barabara,yaani lile daraja ni kama lile la wilaya ya mwanga ambako treni inapita juu,tofauti tu ni kwamba hili la mfugale juu gari na chini gari.
Mkuu siyo wote humu ni wasome, sisi wengine tulimaliza la 7 huko kijijini tena kwa mbinde sana, imagine hata pepa ya mwisho ilibaki "hivi tu" nidoji..Make a difference btn flyover & an interchange then come back to conversation
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu nenda kaangalie original design ya mfugale flyover then nenda pale physucally ukaangalie kilichojengwa then urudi hapa uendelee kucomentNi nini ambacho kiko tofauti na design pale Mfugale??
hebu nenda kaangalie original design ya mfugale flyover then nenda pale physucally ukaangalie kilichojengwa then urudi hapa uendelee kucoment
hebu nenda kaangalie original design ya mfugale flyover then nenda pale physucally ukaangalie kilichojengwa then urudi hapa uendelee kucoment
Weekly Part-time Job and grow your Pay to 500$ per week , Vacancy Criteria: For all Job-less People - 52575 $ try your chance and get paid grow your incomeTerminal ya BRT (mwendokasi) huko Mbagala inatarajiwa kuwa na muonekano huu. Na ile tabia ya kupitia dirishani itapotea kweli?
SlaveryWeekly Part-time Job and grow your Pay to 500$ per week , Vacancy Criteria: For all Job-less People - 52575 $ try your chance and get paid grow your income
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaiga tu comments bila kujua ukweli halisi. Kilichojengwa pale Tazara na michoro hamna tofauti yoyote. Inawezekana hata hujui mchoro ulikuwaje na hata sasa hivi pakoje.hebu nenda kaangalie original design ya mfugale flyover then nenda pale physucally ukaangalie kilichojengwa then urudi hapa uendelee kucoment
Nasikia kuna phase 6 za BRT, hii ya mbagala ni phase ya 2 na iko mbioni kuanza full blown implementation, sina hakika lini
View attachment 1002624View attachment 1002625View attachment 1002627
Hizo ndio picha za design kabla ujenzi kuanza, tuambie tofauti unayoiona kati ya hizo picha na kitu halisi kilichojengwa. Kuhusu kwenda pale physically kuangalia naomba nikutaarifu kuwa mimi ni mtumiaji wa barabara ya Nyerere kila siku napoenda kazini na kurudi nyumbani, ni mtumiaji wa kila siku wa mfugale flyover.