Je Mnaona nini katika picha hii...?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
15,417
3631961_00_jpeg919f3ecb8d32bb46a2bd5a96c07a9098

Je Mnaona nini katika picha hii...?
 
1. Huyo jamaa wa kushoto anamalizia kusuka msokoto wake auvute vizuri.
2. Hizo timu zinazocheza ni za majina ya kizungu ila watazamaji waswahili - puzzled ...... waswahili hawapendi majina ya asili yao hata kuzipa team zao za mchezo majina ya kizungu (int'l).
Team za wazungu zimekuja kucheza mpira nchi za waswahili.... la waswahili wengi kiasi hicho wamepata ufadhili wa kwenda kuangalia mechi ya kizungu nchi za ughaibuni.
3. Michezo ni kwa wote yaani watu wa rika zote watoto vijana kwa wazee ila hapo jinsia ya ke haijaonekana.

If at all I have not over see looh!! That all I see... :):):)
 
Nasarawa united ni timu ya Nigeria
 
Nasarawa ni kizungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom