mnao sema KK kampa mwanae amuoe Mzee Mwinyi wekeni ushahidi wenu hapa..Jina la Mtoto....tunavyokumbuka ule uzushi wa magazeti....wakati ule...!!!
Sofia Simba kama mnavyoambiwa alikuwa mkewe, na alibadili Dini, walipoachana na KK amerudi ktk Dini yake.
Sina Hakika Madudu aliyoyafanya KK wakati wake...ila kama mnataka kujikumbusha, basi ni vema mkaweka historia tangu after uhuru...ya huyu Bwana KK...
Jiji la DSM, limekuwa likitafunwa from Top to Down...wakati mwingine unashindwa kujua maamuzi ya Jiji au ya Serikali Kuu....