Je mnaliona tangazo la Chai Bora...?

Marahaba mwanangu, Je na wewe umeliona hilio Tangazo.......?
NAMI NIMELIONA TANGAZO LA ......
C.H.A.I B.O.R.A-CENTER for HORNINESS AND INVESTIGATIONS BY OBSERVING REAL ASSES
 
Mtambuzi kwanini vijana wako wengi wanamuona huyo Dada na sio Tangazo? Mimi nuiliona Tangazo na ndio nikamuona huyo dada. Hata hivyo huyo Dada mmmmhh si haba anafaa kwa kufungia mwaka huyu, kakaka kama kuku wa kienyeji, ajitafutia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Mentor ananiambia eti hilo tangazo linalotembea ni Photoshop, nikambishia nikamwambia hio ni original kabsaaaaa, Made in Tandale for Tandalese....
 
Last edited by a moderator:
Ungejua wala usingesema hayo maneno, mimi nilikuwa nafanya udadisi wa hilo Tangazo la Chai Bora nikawa najaribu kulipiga picha kwa mbali halafu kwa karibu kidogo, halafu tena kwa karibu zaidi, sasa kosa langu liko wapi?
Usifuate tafsiri za wakuda wa humu JF wala mimi sikuwa na maana hiyo wanayofikiria au unayofikiria...

Naomba unitake radhi shemegi................ LOL
 
Mzee mwenzangu pole zako bhana, ndio uzuri wa kuishi vizuri na vijana wako, wanajiskia raha kukuchezea sharubu ati. Mshukuru MUNGU vijana wako wako upande wako japo kwa hapa naona wanakurudisha enzi zako zileeee za Kioo hahahahaaaaa hilo alilisema Mzee mwenzio MANI kuwa kuna kamtindo kakuwawekea mabinti vioo chini. Nikawa mkali nikamwambia NO No no Mzee mtambuzi hakua na maana hio bali alikua anatukumbusha kunywa chai Bora akisahau kuwa mimi ni Msababto japo sio Masalia
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu wananitafuta ubaya na nimeshawajua kwamba wanataka niwaachie radhi watembee makalio nje kwa kunikebehi, mimi ni mtambuzi na huwa nafanya tafiti zangu za kutambua vitu mbalimbali kwa kiingereza huitwa illusion
 
Mentor ananiambia eti hilo tangazo linalotembea ni Photoshop, nikambishia nikamwambia hio ni original kabsaaaaa, Made in Tandale for Tandalese....
Huyo Mentor kuna kitu anakitafuta kwangu maana namuona tu na yeye kaingia kwnye kundi la wanangu kina King'asti na Asnam kunizodoa humu JF, subiri nitamuonyesha na hakuna rangi ataacha ona........
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi kwanini vijana wako wengi wanamuona huyo Dada na sio Tangazo? Mimi nuiliona Tangazo na ndio nikamuona huyo dada. Hata hivyo huyo Dada mmmmhh si haba anafaa kwa kufungia mwaka huyu, kakaka kama kuku wa kienyeji, ajitafutia mwenyewe


ukianza kuliona tangazo mpwa utakuwa na tatizo...

hilo tangazo kwa nyuma ndo limetulia,liko poa sana,next time weka na video mkuu

mh umekuwa Tangopori mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hili tangazo chai bora wangetaka kulibandika ndani kwangu wala nisingetaka malipo kabisa.mtambuzi nibembelezee waje walibandike burebure.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…