kwa riba au???
kulala na wewe ukiwa mwandani wangu ni riba tosha....
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
Umoja ni nguvu, utengano ................... Kidole kimoja hakivunji chawa...
Unapofanya kazi mama na Baba, Baba akilipa Ada ya watoto, mama basi nunua mboga na unga nyumbani, Baba akijenga mama Nunua nguo za watoto....Inshort mama ni wakutunza nyumba so vitu vidogo vidogo vya nyumbani yapasa kuyakamilisha pasipo baba kumtegemea kama unafanya kazi....
Nitamnjunja? You mean nitamkunja? Ama kunjunjaa???
kulala na wewe ukiwa mwandani wangu ni riba tosha....
Mimi huwa sikopeshi kabisa!
Million na zaidi kwa kweli na dai. Ila chini ya hapo si dai. Sema nahisi kashitukia hii tabia. Nilikopwa 2 nikarudishiwa 1 halaf baada ya mda kilo 5. Kudai 5 iliyobaki sikuweza. Halaf nilishasahau hii post ikanikumbusha.
Ila vilaki tunapeana tu kwa kweli.
Mimi sijawahi kumkopa, na nitakazan nisije mkopa hela beibs wangu labda maji yafike shingoni saaana! Au nizame kabisa!
Asee unaonekana ni mhanga wa hii kitu kama sikosei kuna thread ako nyingine ilihusiana na haya mambo ati .....
Mi namkopesha na mtiti wangu anaujua. Anarudishaga mwenyewe
sina mpenzi curently Nilimdai riba ya mkopo akaniacha
you are such a wooow thats is it
JE WEWE UNAEZA KUKOPA?????
Hii mada bwana nadhani ni busara nisichaingie zaidi maana najua lazima aisome tu!
Bahati nzuri nina connection na access nyingi za kukopa kama nahitaji pesa.
Sometime ukinikuta nina laptop 5 ndani usidhani nina mikono 10 ni moja tu ndio natumia hizo nyingine nikiwa na shida ya dharura ya vihelahela nahita vijana wangu wa mjini ndani ya masaa mawili naletewa cash na nagawa commision yao na ukiniona nimetinga cheni ya dhahabu ya pesa ndefu usidhani ni urembo ukichemka unajisalimisha kwa sonara inapimwa uzito unalamba cash yako Ndio maana hapa mjini tupogo sana.
heee pole mamy...I faced the same problem yaani tena yule atapata dhambi kabisa mana alipata msiba wa shangazi yake ambaye ndiye alimlea tangu mtoto..
mwanaume akanijia vuuuuup...
nikampa banah ikapita miez 2 kimya kumdai eti analeta za.
.tupige mahesabu tangu tuanze umetumia sh ngapi zangu....jamani mtu alikuja kikukopa..nami bila hiyana nikamkopesha kama alivoomba...NAJUUUUUUTRAAAA...