masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
- Thread starter
-
- #41
Mi simkopeshi tutaishia kuzinguana bure.
masharti yangu nimagumu sana kwa mkopaji
1.TUNAANDIKISHANA
2.UNASAIN NA MIMI NA SAINI
3.NAKUPIA POLISI
4.HUKU NA KUREKODI
5.NA LAZIMA USEME NISIPORUDISHA NIKUFANYE NINI
nilikopesha nikadai kwa hasira maana deadline ilipita alafu akanipa bila riba
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
Ha ha ha hatari.....usipende kukopesha maana siku ya siku utakopesha mpaka papuchi
Kweli hujawahi kopwa..??? Kila ulipokwenda ulirudi na chochote..??? Au ulilipwa kabla then ukaja kulipa kihivyoo..??
kwenye ndoa mnapeana tu ila huku tution huku bora useme sina
Wewewewee...... Inategemea na situation bana...Kukopesha ni ishara ya bidhaa yako kutouzika na unatafuta huruma ya mteja ili isibaki isije kuharibika.
Ha ha ha ha
Wewewewee...... Inategemea na situation bana...
kiendacho kwa mganga?Hivi mpenzi wako akikukopa unampa? Ushawahi, alikurudishia? Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
MARANYINGI WAKIKOPA HAWARUDISHI...ILA UNATAKIWA URUSIDHE KWA STYLE,SIUMEMKOPA MILIONI LABDA MBILI.UHENDI STRAIGHT KUDAI.LABDA ALIKUWAIDI BAADA YA MWEZI.ukaona kimya unauchuna kama hamna kitu,then una mtusua baby embu nianzime milioni mbili na nusu kuna mzigo na taka kuchukua nimepelewa.akikupa ujue umerudisha milioni mbili yako na faida laki tano,then baada ya siku tatu unamrudishia laki tano yake.afuu unauchuna.kama muelewa atakuwa amejua.Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
utakuwepo huolewi sasa,utabakia kuchunga ng'ombe ngorongoro huko
Dada mkubwa umekopwa?
Mm namkopesha wife lkn hajawahi kunilipa