nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Vipi kuhusu ile hela yangu uliyosema utarudisha tarehe 03.10.2015?mimi naangaliakauli yako ukisema NAOMBA NIAZIME LAKI MOJA lazima urudishe.... ila ukiniambia BABY NAOMBA LAKI MOJA NAKUPA KWA MOYO MMOJA......
nakuwa ofisini baby naomba ile hela yangu uliyokopa tarehe 7/9/2014 na ukasema ungerudisha leo 3,10,2014... naona mpaka sasa unajisaulisha tu please baby.... alafu unamalizia I LOVE U SO MUCH .. TAKE CARE MWAA...
AU UNAMWABIA VIPI KUHUSU ILE HELA YANGU...
kama ikizidi milioni moj kunakuwa na mashahidi ... ikizidi milion tano aisee naenda polisi kabisamammiiii
next time ita polisi muandikishane teh teh
mmhhhh kukopeshana ktk mapenzi ni kudhulumiana...
Ukimdai sana atasema humpendi...Bora kama unayo umpe tuu, kama huna au inabudget usimpe mwambie sina...
Ni sheeder
Ila tukiwa katika ndoa nakukopesha na nakudai vizuri..Huniachi , sikuachi..Ila kama ndio mpenzi aaahhh anaweza sepa ukidai..
Vipi kuhusu ile hela yangu uliyosema utarudisha tarehe 03.10.2015?
kama ikizidi milioni moj kunakuwa na mashahidi ... ikizidi milion tano aisee naenda polisi kabisa
kumkopesha mpenzi ni sawa nakujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara chini ya utawala wa magufuli.
mijinndo nishavunja hivyo kwa kudai
unatakiwa uende polisi apigwe paspot na awe na wazamini,FAILI UNALIACHA POLISI
teh teh
Ha ha ha ulikopesha o ulikopeshwa??
alafu ubaby baby unaisha wakati wakukopesha unamtaja kabisa yote matatu
Kama ulikuja kwa neno la kukopa hata 2000 utarudisha kusema ule ukweli
unaangalia na matumizi yenyewe, vinginevyo unapotezea tu ukishampa, kwani kuna nini...?
Naona mapenzi na pesa ni kama urafiki wa fisi na sungura.
unayataja yote kabisa teh teh
ndiyo hawashindwi kupinduamaneno ukutaja jina langu mimi siyo baby.... au mwingine anakwambia babay anakopaje ?