Kuna video moja ndeefu niliihifadhi inayomhusu huyo bodyguard,kwa jinsi wanavyomchambua utaona kweli si binadamu wa kawaida,wanaonyesha muundo wa fuvu lake(skull)ambalo linafanana kama la jamii ya mjusi,na ile movement ya kichwa chake anavyozunguka from left to right and right to left kwa ufasaha as if anazungushwa na machine,pia macho yake hayapepesi kama binaadamu wa kawaida,yaani yametulia tuli kama gololi,siamini kuwa ni allien,ila ana kitu cha tofauti kinachomtofautisha na mimi na wewe,kama ni mafunzo basi alifaulu vyema.