Je mlikuwa mnayajua haya…?

Je mlikuwa mnayajua haya…?

Mtambuzi umejieleza jinsi ulivyo aisee........lol ngoja he wengine waje.....:coffee:

ndio nimekuja sasa....
mkuu Mtambuzi acha kunisema hadharani bana ile tabia yangu ya kutongoza na kuacha bila kutafuna nilishaiacha

NB Unaweza kutongoza mwanamke akakuzungushaa mapaka anakuja kukubali ushakata tamaa na apitite ishatoka na ratiba zishabadilika sasa unapomtosa ndio unaonekana kuwa ulikuwa unajionyesha kuwa unajua kutongoza kumbe vibweka vya hawa dada zetu


 
Umenena vema, haijalishi watu watasema wewe uko vile na vile lakini ukweli daima unajisimamia wenyewe.

Wanaume daima wanapenda vipande ya mwili na baada ya hapo ndio mambo mengine kama tabia, elimu, nk vinachukua nafasi ya kuangaliwa.

Na inapokuwa kwenye mambo ya mapenzi tu let say eat and run nk, hapo ndio usiseme, utasikia mtoto ana usafiri, kiuno, kifua nk na si vinginevyo na hii kila mmoja ana kitu chake anachopenda kwenye mwili wa mwananke.

Generally it something natural, so inakuwa ngumu kubadili, tumuombe Mungu atusaidie kutambua nini tunafanya kwenye hii dunia ili tusikwazane sisi wenyewe na kwa kufanya hivyo tunamkosea pia yeye maana daima anatuona.
 
Mie picha tu lolz..

Afu Mtambuzi hiyo ya hao wanaokiss imenisababishia mfadhaikoo.. .. Na hili baridi la leo daaa!

Ngoja nikamtafute mupenziii.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi umejieleza jinsi ulivyo aisee........lol ngoja he wengine waje.....:coffee:

Ulitakiwa useme Mtambuzi umejieleza jinsi tulivyo aisee......... lol ngoja he wengine waje.......

Kwa nini nasema hivyo jamaa amechambua pande zote mbili yaani wanaume na wanawake, Na ukiangalia alichosema hata kama hakina ukweli wa direct kwako binafsi lakini wewe binafsi unakisadiki maana ulikwisha kiona ama kukisikia several times hivyo ni posible kufanya justification.
Mfano anaposema wanaume kupenda viraka viraka akimaanisha mwanaume anaweza kumpenda mwanamke kwa sababu ya meno, miguu, sauti, kiuno, nywele nk, binafsi kama mwanaume hata kama ni mfano tu sipo katika hilo kundi siwezi kupingana na hii nadharia hata kidogo, ni ya kweli kabisa nilishaona na kusikia mambo kama hayo several times.

Kwa upande wa wanawake hii inamanisha kuwa amesadia kuwafungua japo sio wote wengine haya mnayajua sana na zaidi ya hayo aliyoyasema, lakini sio wote kuna wengine wataanza kujua kumbe hizi sauti za nakupenda sana nk nk sio zote ambazo huwa zinamaanisha hivyo. Kumbe basi tukilingatia hili tutapunguza hivi vilio vya kila siku vya watu kuumizwa na mapenzi na mambo kama hayo.

Pole kwa story ndefu, sijui kama unaweza soma maelezo marefu. nisamehe bure, ila mtambuzi he is right
 


shutterstock_44221015.jpg


4-Kwa wanaume kutongoza na kuwapata wanawake wazuri sana, huwa linaonekana kwao kama jambo la sifa na uthibitisho wa udume wao. Kwa hiyo baada ya kutongoza na kukubaliwa, huwa wamemaliza kazi. Suala siyo kutongoza kwa sababu mtu amependa, hapana,ni kwa sababu alitaka kuonesha na kujionyesha

Wakati Bazazi akikaa pande za Ikwiriri miaka ya tisini mwishoni;
Alikutana na mzee wa miaka takribani 75 aliyekuw abdo shababi;
Bazazi alijuzwa kuwa ukiwa mwanaume ni lazima utongoze na kutongoza;
Usijali majibu yao, Bali tongoza na kutongoza,
Usishabikie ku.tomban.a nao, bali watongoze kadri uwezavyo.
Usipotongoza utasahau na utapitwa na wakati katika mbinu za utongozaji .
Bazazi hutongoza tu, mtandaoni, mikutanoni;
Sehemu yeyote inayoitwa contact place
Mradi ni kutongoza tu.

Ndimi Bazazi
 
Back
Top Bottom