Je mlikuwa mnayajua haya…?

Je mlikuwa mnayajua haya…?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
Je mlikuwa mnayajua haya…?

black-couple-in-bed1.jpg


1-Kwa kawaida mwanaume huweza kufurahia tendo la ndoa bila hata kumpenda mwanamke, lakini kwa mwanamke, hiyo ni tofauti, kwani hawezi kufurahia tendo la ndoa kama hajampenda mwanaume. Kwa mwanaume tendo la ndoa halihusiani kabisa na kupenda.

group+2.JPG


2-Mwanaume kwa kawaida anapomtamani mwanamke, hamtamani kama yeye kamili, bali humtamani vipande vipande. Hutamani mguu au matiti, midomo au nywele ama hata pua na pengine makalio. Mwanamke kwa mazingira fulani hufurahia jambo hilo, yaani kupendwa huko kwa viraka viraka. Lakini mwanamke hampendi mwanaume kwa viraka viraka bali kama alivyo.



3-Mwanaume huweza kupata ashki hata kufikia kuamsha sehemu zake za siri kwa kutazama picha tu ya sehemu kama matiti, makalio na hata macho. Kwa hali hiyo, mwanaume hawezi kutofautisha kati ya kitu halisi na kitu bandia linapokuja suala la kujamiiana.

shutterstock_44221015.jpg


4-Kwa wanaume kutongoza na kuwapata wanawake wazuri sana, huwa linaonekana kwao kama jambo la sifa na uthibitisho wa udume wao. Kwa hiyo baada ya kutongoza na kukubaliwa, huwa wamemaliza kazi. Suala siyo kutongoza kwa sababu mtu amependa, hapana,ni kwa sababu alitaka kuonesha na kujionyesha
 
Last edited by a moderator:
Number 4 wanawake wengi hawaijui kabisa, yeye akipigiwa psiiiiiiiiiiii anajua kwamba karibu wanafika bei, akitongozwa ndo kabisaaa anakuwa na bichwa hiloooooo na kuona amependwa sana kumbe wala ni kusanifiwa tu. Wanawake muamke hii ni karne ya 21 mtaonjwa hadi lini na hawa wapishi kama vile mchuzi wa hitima?
 
number 4 wanawake wengi hawaijui kabisa, yeye akipigiwa psiiiiiiiiiiii anajua kwamba karibu wanafika bei, akitongozwa ndo kabisaaa anakuwa na bichwa hiloooooo na kuona amependwa sana kumbe wala ni kusanifiwa tu. Wanawake muamke hii ni karne ya 21 mtaonjwa hadi lini na hawa wapishi kama vile mchuzi wa hitima?

wambie kiongozi; wamezidi; na wananikera mimi; ukiwahoji wana majibu machafu eli "nilipewa bure" nini maana yake - wizi m2pu
 
no1 hiyo ni true totally! yani nothing u can feel ,it is like raping vile tena si tendo pekee hufurahii kila kitu chake hata kiwe cha gharama hutoona uthamani wake!
 
Number 4 wanawake wengi hawaijui kabisa, yeye akipigiwa psiiiiiiiiiiii anajua kwamba karibu wanafika bei, akitongozwa ndo kabisaaa anakuwa na bichwa hiloooooo na kuona amependwa sana kumbe wala ni kusanifiwa tu. Wanawake muamke hii ni karne ya 21 mtaonjwa hadi lini na hawa wapishi kama vile mchuzi wa hitima?

Makavu live jambo unaturushia ndege zetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom