Je nitakuwa nipo sahihi au nitakuwa nimepotoka?
Nikisema mitandao ya kijamii inatudanganya sisi vyama pinzani Maana ukiaangalia tunavyopata uungwaji mkono mitandaoni ni tofauti na kwenye maisha ya uhalisia uku mtaani wananchi wengi hawana muamko wala uelewa wa mambo ya nchi yanavyokwenda wao wanawaza maisha yao zaidi!!!
Na ata uko kwenye mitandao ukipitia maoni ya watanzania wengi hawana uelewa wa siasa wengi ni vijana wa 2000 wao wanachokijua ni kuvaa suruarii kubwa na mayebo yebo makubwa!!pia ukienda vyuo vikuuu ndo kabisaa watu ni hewa kabisaaa!!!
Nashuuri uongozi wetu wa vyama pinzani watumie nguvu kubwa kuelimisha wananchi wa mitaani na na vijijini kuliko kuwekeza nguvu kwenye mitandao maana tangu wawekeze nguvu uko akuna matumaini wameitisha maandamano ameuzuria mwenyekiti na familia yake