Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Wakuu salama
Kwanza nawasihi sihitaji matusi,kashfa au kejeli yoyote,huna cha kushauri kaa kimya tu.
Kuna demu alikua na mimba na juzi ilikua siku ya 25
Akatumia misoprostal 200 mg nne ,mwenyewe anasema baada ya kutumia aliumwa tumbo na kutokwa na damu kiasi.
Asubuhi damu ikatoka kidogo kidogo sana na maumivu ya tumbo kiasi.
Leo anasema damu zimekata,je kwa mimba ya siku 25 itakua kweli imetoka kwa hizo damu kidogo manake juzi usiku ndo alitumia akadai zimetoka kiasi za mabonge bonge then zikatoka matone tone hadi Leo zimekata
Wataalam nisaidieni kwa situation hii nliyoielezea ni kweli mimba itakua imetoka au demu ananiletea ujanja ujanja???