Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

Kwenye political science kuna kitu kinaitwa "Constructive Ambiguity". Yes Rais anajua vizuri kwamba lile "gawio" pengine siyo dividend kama inavyotakiwa lakini kama mwanasiasa lazima atoe taswira chanya kwenye jamii. It is an income regardless of semantics! Kwa maneno mengine Rais yuko sawa na Zitto yuko sawa kwa kutoa ufafanuzi sahihi.
 
Mkuu yale mshirika yanayotoa huduma huwasilisha maduhuli serikalini, yale yanayofanya biashara huwasilisha gawio (dividend).

Whether ni maduhuli au gawio sio muhimu, yote mawili yanamaanisha pato kwa upande wa serikali.

Unaleta mbwembwe nyingi lakini ukweli ni kwamba ufike wakati tusiwe na shingo ngumu kwa maana ya kupinga kila kitu, kwa maana ya kudhani kila kinachofanyika ni siasa, tutakuwa tunapoteza ule muono wa uhalisia.
Mosi, hakuna nilipopinga na ndio maana ktk post yangu ya kwanza kwako nilisema hivi:
Endapo JPM na Team yake wasingekuwa addicted na ULAGHAI, walikuwa na uwezo wa kutumia misamiati inayoeleweka lakini isiyopotosha huku wakiendelea kupata mileage kutokana na ongezeko la hayo maduhuli!!

Kwamba, yanini kuupotosha umma?! Kama lengo ni kutafuta credit kwanini asiseme ukweli kwamba yale ni maduhuli na credit zikabaki kwenye ongezeko la maduhuli?!

So, hakuna suala la shingo ngumu hapa! Shingo ngumu ndo hizo za kututaka sote tuimbe kwamba 1+1=11

That's one, tuje kwenye hilo la:
Mkuu yale mshirika yanayotoa huduma huwasilisha maduhuli serikalini, yale yanayofanya biashara huwasilisha gawio (dividend).
To some extent, you're right hususani hilo la kuhusisha mashirika yanayotoa huduma na maduhuli na yale yanayofanya biashara na gawio!!!

Pamoja na yote hayo, ipo hoja ya msingi ambayo huwezi kuikwepa no matter what! Kwamba, more often than not, gawio linaashiria taasisi husika kutengeneza faida! Labda ni kampuni ya wendawazimu peke yake ndiyo inaweza kutoa gawio wakati inafanya hasara!!!!

Kwa lugha nyepesi, hapo ni kwamba mapato yamezidi gharama za taasisi husika!

Kinyume chake, taasisi inaweza kuwa na mzigo wa gharama lakini bado ikalazimika kulipa maduhuli! TCRA kwa mfano... primary objective ya TCRA sio kutengeneza mapato!

Kwa maana nyingine, primary functions za TCRA zinaweza kuzalisha gharama, mathalani mara mbili ya mapato wanayotengeneza! Hata hivyo, gharama hizo wanazoingia haziwa-exempt kulipa maduhuli!!

Kwa lugha ya kawaida, maduhuli ni mapato!!! Mapato hayana uhusiano wowote na faida kama ulivyokuwa unasisitiza faida ya TCRA hapo juu! Haina uhusiano wowote na faida kwa sababu, tunapozungumzia mapato ni kwamba gharama, including kodi havijaondolewa wakati unaposema gawio, always gharama zote zinakuwa zimeondolewa, including tax!!!

So, there's no way maduhuli na gawio vinaweza kuwa kitu kile kile.... kwamba hii inatokana na taasisi za kibiashara na ile inatokana na taasisi za huduma sio tofauti ya msingi kati ya maduhuli na gawio!!

Maduhuli anaenda kwa "shareholder" wakati kakimbia zigo la gharama huko alikotoka wakati gawio anaenda kwa shareholders wakati huko alikotoka kaacha kila kitu kipo CLEAN!

Anyway, catch'ya next time... ngoja nipige usingizi, manake nishaanza kuzeeka zeeka hivi sasa!!!
 
Wanabodi,

Leo taifa limetangaziwa huku tukishuhudia live kupitia matangazo ya moja kwa moja, live kupitia kwenye TV, rais akatutangazia kuwa fedha hizo ni gawio la serikali, na muda mfupi baada ya tukio hilo, Mhe. Zitto akaibuka na taarifa yake kuwa fedha hizo sio gawio, ni maduhuli.

Nimepandisha uzi huu kufuatia hoja za mwana jf huyu

Mkuu ZZK, nimezisoma hoja zako na kuzielewa ila ni za uchochezi kutaka kumfanys rais wetu aonekane muongo na tukio lile ni usanii!.
  1. Kwa sisi ambao sio wachumi, any income ni profits, hivyo chochote ambacho serikali imepata mgao wake kutokana na income ya taasisi zake hivyo ni sahihi kabisa kuita gawio la mapato yao!.
  2. Maana ya gawio ni mgao na sio lazima dividends.
  3. Faida ni fedha yoyote unayoipata extra, hivyo kwa mgao huo, serikali imepata faida.
  4. Sii ulaghai, bali huo ndio ukweli wenyewe, gawio hilo ni faida kwa serikali.
  5. Hata kama hakuna faida, then gawio hilo ni mgao halali wa 15% ya serikali.
  6. Maadamu yameishawekwa kisheria, neno gawio hapa linamaanisha kile unachogawa, iwe ni mchango, mgawo, gawio, call it what you may, serikali imegaiwa, hivyo kilichopokelewa ni gawio la mgao wa serikali.
  7. Amewaleta ili Watanzania tuone, jinsi serikali yetu inavyofanya kazi, na amini usiamini, kuanzia mwaka huu wa fedha, kutakuwa na tukio la TRA kwa walipa kodi wakubwa nao pia watatangazwa na vyeti vya recognition wapewe!.
  8. Zitto usipotoshe, Watanzania hatuja danganywa, zile hundi ni za ukweli, ni gawio halali kwa serikali yetu na fedha hizo zote zimeingia mfuko mkuu hazina na nchi imepata pesa!.
Hata kama fedha hizo ni za maduhuli na sio gawio, jee kuna tatizo gani zikiitwa gawio?!. Sote tulioangalia live, tumeshuhudia hundi za gawio zikitolewa, sasa iweje mtu tuu ajiibukie na kuita ni maduhuli?.

Nauliza jee mnaonaje tukishauri Mhe. Zitto akamatwe na kushitakiwa kwa uchochezi wa kumdhalilisha rais wa JMT na kuidhalilisha taasisi ya urais?.

Rais wa nchi ni kama baba kwenye familia, sio mtu, huyu ni an institution, na kwa mujibu wa katiba yetu, rais wetu hawezi kukosea ndio maana hashitakiwi. Hata kama Zitto ni mkweli na hayo ni maduhuli na sio gawio, kama rais kasema ni gawio, then ni gawio!. The boss is always right!.

Haiwezekani rais wetu aseme kitu hiki halafu atokee mtu mwingine, ambishie rais!. Huu ni utovu wa nidhamu!.

Hii sii mara ya kwanza kwa Mhe. Zitto kutoa kauli za kichochezi, tulipotangaziwa na rais wetu kuwa tumenunua ndege mpya , Zitto aliibuka na kudai ndege sio mpya, ni chakavu na kudai kuwa ni ndege za mtumba. Mimi nilishauri
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P.
Utashika wangapi ndugu yangu, wewe umejaribu kutoa maelezo ambayo kwangu naona ni tofauti na ZZK alivyomaanisha. Inaelekea hujui vizuri fani aliyozungumzia ZZK.
 
Mtoa mada nimekuelewa vizuri sana siku hizi baba zetu(?) tunawapata kwa kupiga kura(?)(halafu wanajifungia ndani wakitoka huko wanamtangaza) kila baada ya miaka 5, halafu hawa baba(?) zetu wakikwambia ruka, uliza how high, don't ask why, wakisema 2x2=0, clap your hands, it is dangerous to be right when these babas are wrong! it could be the end of your life or you will follow tundu lissu's path to Belgium if you're lucky!
 
Pascal Mayalla gawio ni mgawanyo wa faida baada ya kodi; klicholipwa ni 15% of mapato ghafi (kabla ya kuondoa gharama). Inawezekana taasisi ikalipa huo mgao unaotokana na mapato ghafi lakini bado ikawa inatengeneza hasara. Vile vile mgao hutolewa kutoka kwenye faida ya hesabu zilizokwisha kaguliwa; leo ni July 2018 mwaka umeisha juzi tuu 30/6/2018 hivyo bado ni mapema kufahamu faida ili kutoa gawio (dividend).

pascal mayalla ume miss in action ,,, my friend dont be a douchebag. ndugu ndachuwa hichi ndicho hasa nami nachojua sasa hayo mengine labda paschal ana ufafanuzi mwingine lakini leo ,,, tunasema umebugi
 
Wanabodi,

Leo taifa limetangaziwa huku tukishuhudia live kupitia matangazo ya moja kwa moja, live kupitia kwenye TV, rais akatutangazia kuwa fedha hizo ni gawio la serikali, na muda mfupi baada ya tukio hilo, Mhe. Zitto akaibuka na taarifa yake kuwa fedha hizo sio gawio, ni maduhuli.

Nimepandisha uzi huu kufuatia hoja za mwana jf huyu

Mkuu ZZK, nimezisoma hoja zako na kuzielewa ila ni za uchochezi kutaka kumfanys rais wetu aonekane muongo na tukio lile ni usanii!.
  1. Kwa sisi ambao sio wachumi, any income ni profits, hivyo chochote ambacho serikali imepata mgao wake kutokana na income ya taasisi zake hivyo ni sahihi kabisa kuita gawio la mapato yao!.
  2. Maana ya gawio ni mgao na sio lazima dividends.
  3. Faida ni fedha yoyote unayoipata extra, hivyo kwa mgao huo, serikali imepata faida.
  4. Sii ulaghai, bali huo ndio ukweli wenyewe, gawio hilo ni faida kwa serikali.
  5. Hata kama hakuna faida, then gawio hilo ni mgao halali wa 15% ya serikali.
  6. Maadamu yameishawekwa kisheria, neno gawio hapa linamaanisha kile unachogawa, iwe ni mchango, mgawo, gawio, call it what you may, serikali imegaiwa, hivyo kilichopokelewa ni gawio la mgao wa serikali.
  7. Amewaleta ili Watanzania tuone, jinsi serikali yetu inavyofanya kazi, na amini usiamini, kuanzia mwaka huu wa fedha, kutakuwa na tukio la TRA kwa walipa kodi wakubwa nao pia watatangazwa na vyeti vya recognition wapewe!.
  8. Zitto usipotoshe, Watanzania hatuja danganywa, zile hundi ni za ukweli, ni gawio halali kwa serikali yetu na fedha hizo zote zimeingia mfuko mkuu hazina na nchi imepata pesa!.
Hata kama fedha hizo ni za maduhuli na sio gawio, jee kuna tatizo gani zikiitwa gawio?!. Sote tulioangalia live, tumeshuhudia hundi za gawio zikitolewa, sasa iweje mtu tuu ajiibukie na kuita ni maduhuli?.

Nauliza jee mnaonaje tukishauri Mhe. Zitto akamatwe na kushitakiwa kwa uchochezi wa kumdhalilisha rais wa JMT na kuidhalilisha taasisi ya urais?.

Rais wa nchi ni kama baba kwenye familia, sio mtu, huyu ni an institution, na kwa mujibu wa katiba yetu, rais wetu hawezi kukosea ndio maana hashitakiwi. Hata kama Zitto ni mkweli na hayo ni maduhuli na sio gawio, kama rais kasema ni gawio, then ni gawio!. The boss is always right!.

Haiwezekani rais wetu aseme kitu hiki halafu atokee mtu mwingine, ambishie rais!. Huu ni utovu wa nidhamu!.

Hii sii mara ya kwanza kwa Mhe. Zitto kutoa kauli za kichochezi, tulipotangaziwa na rais wetu kuwa tumenunua ndege mpya , Zitto aliibuka na kudai ndege sio mpya, ni chakavu na kudai kuwa ni ndege za mtumba. Mimi nilishauri
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P.
Paskali kwa andiko lako naona ww ndo mchochezi au ndo tatizo la ukanda? Akikamatwa zitto ww itakusaidia nini
 
Mosi, hakuna nilipopinga na ndio maana ktk post yangu ya kwanza kwako nilisema hivi:

Kwamba, yanini kuupotosha umma?! Kama lengo ni kutafuta credit kwanini asiseme ukweli kwamba yale ni maduhuli na credit zikabaki kwenye ongezeko la maduhuli?!

So, hakuna suala la shingo ngumu hapa! Shingo ngumu ndo hizo za kututaka sote tuimbe kwamba 1+1=11

That's one, tuje kwenye hilo la: To some extent, you're right hususani hilo la kuhusisha mashirika yanayotoa huduma na maduhuli na yale yanayofanya biashara na gawio!!!

Pamoja na yote hayo, ipo hoja ya msingi ambayo huwezi kuikwepa no matter what! Kwamba, more often than not, gawio linaashiria taasisi husika kutengeneza faida! Labda ni kampuni ya wendawazimu peke yake ndiyo inaweza kutoa gawio wakati inafanya hasara!!!!

Kwa lugha nyepesi, hapo ni kwamba mapato yamezidi gharama za taasisi husika!

Kinyume chake, taasisi inaweza kuwa na mzigo wa gharama lakini bado ikalazimika kulipa maduhuli! TCRA kwa mfano... primary objective ya TCRA sio kutengeneza mapato!

Kwa maana nyingine, primary functions za TCRA zinaweza kuzalisha gharama, mathalani mara mbili ya mapato wanayotengeneza! Hata hivyo, gharama hizo wanazoingia haziwa-exempt kulipa maduhuli!!

Kwa lugha ya kawaida, maduhuli ni mapato!!! Mapato hayana uhusiano wowote na faida kama ulivyokuwa unasisitiza faida ya TCRA hapo juu! Haina uhusiano wowote na faida kwa sababu, tunapozungumzia mapato ni kwamba gharama, including kodi havijaondolewa wakati unaposema gawio, always gharama zote zinakuwa zimeondolewa, including tax!!!

So, there's no way maduhuli na gawio vinaweza kuwa kitu kile kile.... kwamba hii inatokana na taasisi za kibiashara na ile inatokana na taasisi za huduma sio tofauti ya msingi kati ya maduhuli na gawio!!

Maduhuli anaenda kwa "shareholder" wakati kakimbia zigo la gharama huko alikotoka wakati gawio anaenda kwa shareholders wakati huko alikotoka kaacha kila kitu kipo CLEAN!

Anyway, catch'ya next time... ngoja nipige usingizi, manake nishaanza kuzeeka zeeka hivi sasa!!!
Umeandika mengi lakini ukweli ni kuwa miaka ya nyuma kulikuwa na upigaji mkubwa sana, ndio maana makampuni karibu yote hayakuwa na jeuri ya kuwasilisha gawio.

Nidhamu ya sasa ni kubwa sana, mianya mingi ya upigaji imezibwa. Lakini kwa sababu tunajikita kwenye lawama na ukosoaji hatutaki kuutambua ukweli huu.
 
Pascal uzi ni mzuri lakini wewe kama Star mwandishi ungeanza na kutuelewesha maana ya Maduhuli na Gawio tofauti yake ni nini? Then wachangiaji wangekua nauwanja mpana baada ya kudadafua hizo terms 2. Please, do the needful.
Alafu sheria inasemaje kuhusu haya mashirika kutoa hizi pesa .... kwenda hazina?
 
Are you serious kwamba haujayapata hayo majibu kwenye hii thread hadi usawa huu?
 
Hapa kwa watu wanaofuatilia mzunguko wa fedha wanaweza kusema Magufuli anafanya money laundry.

Certainly anawapa sababu ya kusema hivyo.

Kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa nambana kumuuliza, Magufuli anapata wapi hela nyingi za kununua ndege nje ya bajeti? Tena tunaambiwa ananunua cash kama Msukuma mshamba aliyeingia mjini mara ya kwanza (mimi Msukuma kwa hiyo nina haki ya kutoa utani huu).Lazima atakuwa anatupiga sehemu tu huyu.

Sasa jamaa mtetezi wa Magufuli, anasema (mwenyewe anaona anamtetea Magufuli) kwamba serikali ya Magufuli imekamata meliza madawa ya kulevya zina hela nyingi, ikataifisha hizo hela kama ushahidi halafu zimetumiwa serikalini kununua ndege.

Sasa with conspiracy theories abound, mimi nikaona huyu mtetezi wa Magufuli tu anataka (kwa mujibu wake) kumtetea Magufuli. Wakati haelewi kwamba utetezi huo, ambao above all ni hearsay na conspiracy theory,si utetezi, ni kuongeza makosa.

Sasa kwa habari hizi za kampuni zilizopata hasara kutoa dividend, you never know.

Inawezekana serikali imezipa kampuni hela za madawa ya kulevya ili zitolewe back serikalini kama dividend, Magufuli akitaka kufanya manunuzi yake ya "extra budgetary expenditures" akiulizwa hela umetoa wapi, atasema kuna mfuko maalum wa rais wa project za "national security" uliokuwa funded na "dividends" hizi za hela za madawa ya kulevya.

I hope I haven't gone too far.
I never looked at it on that dimension.Kudos! Hoja fikirishi kabisa! Pia safi sana kwasababu haujaingia kwenye ukabila kama wengi wetu humu ndani pamoja na kwamba wewe ni msukuma! big ups.
 
Mazee,

Mimi ninapomchambua Magufuli, namchambua on principle.

Ningekuwa nataka kufuata ujinga wa ukabila na ubinafsi, ningekuwa namsifu sana Mgufuli kutokana na mitandao ya kifamilia tu ambayo nimeikimbia huko kwa sababu za principle, Usukuma aside.

Ila watu wengine tunangaliathe bigger picture.

Ndiyo hapo sasa utakuta tuliouziwa nyumba ubwete Obay wengine, na wenye viti kwenye cabinet, hatumkubali Magufuli, halafu anakuja kifulambute wa buku saba ambaye hata haelewi nchi inavyoenda anapiga debe sana kumsifu Magufuli.
 
Umeandika mengi lakini ukweli ni kuwa miaka ya nyuma kulikuwa na upigaji mkubwa sana, ndio maana makampuni karibu yote hayakuwa na jeuri ya kuwasilisha gawio.

Nidhamu ya sasa ni kubwa sana, mianya mingi ya upigaji imezibwa. Lakini kwa sababu tunajikita kwenye lawama na ukosoaji hatutaki kuutambua ukweli huu.
Nimeandika mengi lakini nawe unaendelea kuandika mambo yasiyohusiana na mada husika!

I can understand you! Pole sana ndugu yangu manake unachofanya hapa ni kuhangaika kuelezea kile unachoona ni mafanikio ya Magu...! Na lazima uhangaike kwa sababu hayo mafanikio hayaonekani with a naked eye na matokeo yake unalazimika kutaka kuyaeleza hata pasipo husika!!

Wewe ni shahidi kwamba mara zote nilikuwa nakusihi tusiende huko lakini kwavile ndiko hasa unakotaka; twende tujadili hayo utakayo hata kama ni nje ya mada!

Kabla ya yote, tuanze na mtu mdogo sana nchi hii ambae inasemekana nae alinufaika na utawala wa wapiga madili! Tumzungumzie tu Saidi Lugumi!!!

Je, hadi sasa Said Lugumi amefanywa nini na alioshirikiana nao wamefanywa nini? For what I know, hadi sasa, si yeye wala washirika wake waliofanywa chochote!!

Nitapokea kwa mikono miwili taarifa tofauti na hiyo!!!

Lakini endapo ninachofahamu mimi ndicho kilichopo, je pamoja na sifa kedekede unazomwaga, unataka kutuambia utawala huu hauna tofauti na tawala zingine zilizopita katika kufumbia wezi wakubwa?!

NB: Don't tell me kwamba unazungumzia ufanisi katika kuzuia wizi kwenye utawala huu kwa sababu hata utawala wa Mkapa tulikuwa tunaambiwa hivi hivi kwamba mianya yote ya wizi imezibwa lakini Mkapa alipotoka madarakani, madudu ya kuchefua yakaja kuibuka kama ambavyo yatakuja kuibuka baada ya Magu kuondoka!!!
 
Nimeandika mengi lakini nawe unaendelea kuandika mambo yasiyohusiana na mada husika!

I can understand you! Pole sana ndugu yangu manake unachofanya hapa ni kuhangaika kuelezea kile unachoona ni mafanikio ya Magu...! Na lazima uhangaike kwa sababu hayo mafanikio hayaonekani with a naked eye na matokeo yake unalazimika kutaka kuyaeleza hata pasipo husika!!

Wewe ni shahidi kwamba mara zote nilikuwa nakusihi tusiende huko lakini kwavile ndiko hasa unakotaka; twende tujadili hayo utakayo hata kama ni nje ya mada!

Kabla ya yote, tuanze na mtu mdogo sana nchi hii ambae inasemekana nae alinufaika na utawala wa wapiga madili! Tumzungumzie tu Saidi Lugumi!!!

Je, hadi sasa Said Lugumi amefanywa nini na alioshirikiana nao wamefanywa nini? For what I know, hadi sasa, si yeye wala washirika wake wamefanywa chochote na kwahiyo nipe taarifa tofauti!!!

Kama ninachofahamu mimi ndicho kilichopo, je pamoja na sifa kedekede unazomwaga, unataka kutuambia utawala huu hauna tofauti na tawala zingine zilizopita katika kufumbia macho wapigaji?!

NB: Don't tell me kwamba unazungumzia ufanisi katika kuzuia wizi kwenye utawala huu kwa sababu hata utawala wa Mkapa tulikuwa tunaambiwa hivi hivi kwamba mianya yote ya wizi imezibwa lakini Mkapa alipotoka madarakani, madudu kadhaa ya kuchefua yakaja kuibuka kama ambavyo yatakuja kuibuka baada ya Magu kuondoka!!!
Waziri Lugola amempa Lugumi wiki mbili za kurudisha pesa bilioni 32 au mtambo ulionunuliwa uonekane. Hii ni vita nzito.

Kusema kwamba Mkapa alisifiwa lakini alipoondoka madudu yakaonekana ni muendelezo wa hisia zilizojaa humu jukwaani.

Mkuu Chige umeyakariri maisha ya kitanzania ukiamini kwamba ya jana ndio ya kesho, sio lazima iwe hivyo.

JPM ni binadamu, pengine walio chini yake wanapiga mpaka dakika hii ya sasa, lakini unaangalia namna ambavyo anao uwezo wa kuutumia udhaifu wa awamu zilizopita katika kujenga mamlaka hizo hizo katika njia za kisasa.

Siku ile ndege ya kwanza ilipofika mheshimiwa JPM aliorodhesha sababu za ATCL kudorora, kwa taarifa tu ni kwamba uongozi wa mamlaka kwa sasa unapata faida kubwa kwa sababu udhaifu wa zamani umefanyiwa kazi.

Chige jitahidi usitekwe na zile mantiki za jumla, mantiki za wote, pasipo kuwa na mantiki za kwako mwenyewe. Epuka mawazo ya jumla jumla, kwamba kwa sababu Mkapa na Kikwete walikosea kwenye angle fulani basi na JPM nae ni lazima akosee.

Sisemi kwamba JPM ni malaika, no way, anayo ya kwake ambayo ni kero kwa wengi.
 
Ume-simplify sana mambo, ni mateka mwingine wa ZZK.

Nimekupa mfano wa TCAA kutoka milioni 800 mpaka bilioni 7 ndani ya miaka miwili tu.

Whether ni maduhuli au gawio cha muhimu ni ongezeko lake na mchango wake kwenye uchumi mkuu wa taifa.

Ukiwa na mtazamo ulioganda ambao haubadiliki siku zote utaishia kuongelea manipulation.

Vizuri sana.Nimekuelewa vyema.

Japo umeandika mpaka umetoka kwenye msingi wa kuitetea hoja yako dhidi ya ile ya Zitto against Mr President ya aidha kinachopaswa kutolewa na haya mashirika/taasisi za serikali ni gawio (dividend) ama Maduhuli.....

Pili, nadhani ungeeleweka vyema na kwa urahisi sana kama ungetofautisha kati ya gawio na maduhuli. Lakini unasema tu kuwa kuwa, ".....it does't matter whether ni gawio ama maduhuli....."

Why does not matter? Yaani kwa kuwa Toyota Corrola na Yutong Bus ni vyombo vya usafiri, basi tuongelee maudhui yake na namna vinavyo operate kwa usawa??

Unajua nini Philipo, hapa ndipo ambapo watetezi wa movie hizi za Magufuli na serikali yake mnashindwa kujenga hoja madhubuti za utetezi na kueleweka.....

Nikuhakikiahie kabisa hapa kuwa bado mmeshindwa kumjibu Zitto na badala yake mnamshambulia na kumwambia anafanya "cheap politics!!"

What's cheap politics wakati hoja iko mezani na kila mtu kwa kadiri ya ufahamu wake anaipima na kuijengea hoja??

Mimi ninadhani, as I said before kuwa laiti ungetofautisha maana ya Gawio na maduhuli na ni sheria na taratibu zipi zinaongoza ktk utoaji wa gawio against maduhuli ya serikali na ni mashirika/taasisi za namna gani za serikali zinapaswa kutoa magawio kwa serikali against maduhuli, ungeeleweka vyema na kwa urahisi sana....

Ni kwa sbb tungeweza kulinganisha hoja ya Zitto na utetezi wako na kuamua. Mwenzako Zitto amefafanua vizuri sana mpaka na sheria zinaoongoza taasisi zitoazo magawio kwa serikali.

Sasa wewe umekuja na hoja kuwa eti kwa sababu sasa serikali inafanya ufuatiliaji sana kwa kuwa zamani pesa nyingi sana zilikuwa zinapigwa na kupotea.....

Kuhalalisha hoja yako, unatolea mfano wa TCAA kutoka makusanyo ya 800M hadi 7bn. Swali linabaki palepale, kuwa, je hili linajibu hoja kuwa maduhuli na gawio ni kitu kimoja??

Nikakuambia (japo unadhani nina kejeli) kwamba, hivi shirika la wazee wa DreamLiner na Bombardier (ATCL) wao wanapaswa kutoa gawio la kiasi gani eti? Wametengeneza faida kiasi gani eti to the extent kwamba watoe gawio kwa serikali? ATCL ni ya nani kwani? Serikali na hao wengine (kama wapo) wana hisa ngapi ngapi ktk shirika hili? Je, ni sawa kuwa CEO na Board Chairperson wa shirika hili naye ajiuzulu kwa sbb hajatoa gawio kwa serikali as per hoja ya Mr President Magufuli??

Nani hasa anafanya cheap politics hapa, Zitto ama Magufuli na serikali yake?

Yeah, possibly Zitto anaweza slightly kuwa anapotosha ama vyovyote. Lakini kumbuka kuwa Chama cha siasa ama mwanasiasa makini na mahiri aliye nje ya mfumo wa kiserikali huku naye akitafuta kuipiku serikali iliyo madarakani hutumia udhaifu wa serikali, viongozi wake na mifumo yake ya kisera, kimipango na kimkakati kuipiga nayo hivyo hivyo!!

Nadhani hili ndilo mnalotakiwa kulitambua na kulijua. Kwamba, kuwa kiongozi fulani serikalini ama kuongoza serikali si guarantee kuwa una akili sana na unajua kila kitu. Na ndiyo hasa mantiki ya kuwekeana ukomo wa uongozi iwe ni muda ama kifo!!
 
Simshambulii Zitto kama Zitto nazishambulia njia zake za kujenga hoja za upotoshaji, nazishambuia cheap politics za kwake sina mamlaka yoyote ya kumshambulia yeye kama yeye.

Miaka ya nyuma fedha nyingi zilikuwa zinapotea juu kwa juu kwa sababu hakukuwepo na ufuatiliaji wa tija ya mashirika na makampuni makubwa.

Nimekupa mfano wa TCAA katika kuonyesha ni namna gani tulikuwa tunachukulia poa tu uendeshaji wake.

Unaandika kejeli kuhusu dreamliner, usichokielewa ni ukweli kuwa mamlaka ya anga inaingiza mapato mengi kupitia tozo mbalimbali za anga.

Zitto anajenga hoja ya maduhuli na gawio, anachojaribu kupotosha ni kuhusu umuhimu wa vyote viwili kuwa ni mapato kwa serikali.

Hizi siasa ambazo ni hasi, zinajenga umaarufu wa humu jukwaani, kwenye maisha halisi hali ni tofauti kabisa.

Ndio maana kunakuwa na zile kelele za tumeibiwa kura, kumbe mwizi wa kura ni hizi akili hasi ambazo hazijikiti kwenye kuyatazama mambo kwa undani.

Back
Top Bottom