Je Mh. S Sitta ni Mzalendo wa Kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Mh. S Sitta ni Mzalendo wa Kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Nov 15, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Ni mara nyingi Mh. Sitta amekua akikikosoa chama chake ambapo naye ni miongoni mwa Serikali.Tumemsikia akiupinga ufisadi.Ila kwa Mzalendo wa kweli ingemfaa akiache chama na atengeneze hoja zake aliwa nje ya Chama. Pia Sitta na Magreth Sitta wote wapo Serikalini.Ingefaa pia atuambie ni vigezo gani vilivyotumika kwa Mama Sitta kuteuliwa kuwa Mbuge angali pia kuna wengi wenye uwezo wa kupata nafasi hiyo? .Kama uzalendo wa dhati mbona asipinge hili ili kuruhusu wanawake wengine kupata nafasi hiyo baada ya yeye kuwa Mbuge?. Je ni kodi kiasi gani za watanzania zinainufaisha familia moja? Huu ni mtazamo wangu.
   
Loading...