Labda anasubiri mwisho wa mwezi kama mshahara.
Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.

hapo sina cha kuweka
Mkuu rejea maneno ya JJ Mnyika Bungeni
haswaaaaaaaaaaaaaa kama tulikuwa tunawaza pamoja yeye anafikiri kutusomea mambo yalivyo ndio sifa ya kiongozi. sifa ya kiongozi ni kutenda kutoa maamuzi juu ya mambo magumu na sifa nyinigne nyingi.
Anatafakali, mambo ni mengi yamemchanganya, hajamaliza ya mauaji ya gas mtwara haya pastor geita kuundiwa tume hajamaliza oh padri kuundia tume na kualika FBI na hapo hapo waliozungusha round about 2012 results.mh atapata heart attack huyu presi wetu!