sagaci
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 100
- 68
Hi members!
Kuna mtu alifungua kesi ya kudai Ardhi, tarehe 23/01/17 katika baraza la Ardhi la wilaya (DLHT) dhidi ya mtu anaemwita amevamia shamba lake. Wakati anafungua kesi hiyo Ardhi ilikuwa haijapimwa na alikadiliwa kuwa na thamani kati ya TZS 40,000,000/= hadi 48,000,000/= na hadi sasa hukumu haijatolea.
Wiki hii (inayoisha kesho 02/04/17) hlo shamba limepimwa na kuwekwa katika eneo la mpango mji na Halmashauri ya wilaya ni likatoa viwanja 72 na kila kiwanja kinauzwa kati 1,000,000/= hadi 1,200,000/= hvyo thamani halisi ya eneo hilo kwa sasa ni zaidi ya 72,000,000/=
Je mdaiwa anaweza kupeleka pingamizi la kwamba BARAZA LA ARDHI la wilaya halina mamlaka ya kusikiliza kesi hii. (Hukumu bado haijatolewa na kesi ipo bado upande wa mlalamikaji)