Je Mchengerwa ndiye aliyechochea Watanganyika kuuawa ?

Je Mchengerwa ndiye aliyechochea Watanganyika kuuawa ?

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Naendelea kukusanya ushahidi angalia body language yake anaonyesha Ni moja walichochea mauaji?

Huyu ni mkwe wa Samia

Poleni Sana wafiwa wote tutaikomboa Tanganyika kutoka kwa wauni Kama hawa
 
H
Naendelea kukusanya ushahidi angalia body language yake anaonyesha Ni moja walichochea mauaji?

Huyu ni mkwe wa Samia

Poleni Sana wafiwa wote tutaikomboa Tanganyika kutoka kwa wauni Kama hawa
View attachment 3499335
Huyo anakwenda kufa very soon .....watu wapumbavu kuona mbele ni shida sana ......mfano samia na huyo mpumbavu wake.....damu ya watanganyika itakuwa juuya vichwa vyao very soon ...bila kusahau wazanzibar.
 
Ana kiburi kuliko hata makonda na sabaya imagine
 
Naendelea kukusanya ushahidi angalia body language yake anaonyesha Ni moja walichochea mauaji?

Huyu ni mkwe wa Samia

Poleni Sana wafiwa wote tutaikomboa Tanganyika kutoka kwa wauni Kama hawa
View attachment 3499335
Hiki ndio kirusi mkuu na ndio mwelekeza mama mkwe wengine wote wanafuata, na mkwe alimpa hii nafasi makusudi kbs awe mtoa maamuzi kwa niaba ya familia
 
"Nawaagiza, tengenezeni amani ya Wananchi hawa, waende wakalime"

Utawala wao ni kututengenezea sisi mazingira ya kwenda kulima

Wanatuona sisi ni ma primitive, ma peasants wa vijijini.... maisha yetu kulima.....
 
Ni vibaka wenyewe ndo wametaka kuuwawa baada ya kuchoma mali za watu , kuiba na kuharibu miundombinu.
Utakuwa ni miongoni mwa wanaolipwa ili kusafisha wauwaji.

Hakuna sababu yeyote ile inayoweza ku support unyama uliofanyika. Inaonesha ninyi ni watu ambao dhamili zenu zimekufa yaani haziwahukumu na chochote na roho ya ubinadamu imewatoka kabisa.

Yaani unamwambia mtu lalachini alafu unampiga risasi kichwani?? Tena haujamkuta katika action yeyote. Dahh nyinyi sio watu. Hivi roho moja ya binadamu inaweza kuwa na thamani ya mali zilizochomwa?? Unapiga risasi watu ambao hawajaveba hata panga???

Ukisapoti huu unyama hata shetani anakushangaa
 
Back
Top Bottom