Unadhani alipenda kushindwa umwenyekiti?Lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa
Mshana Jr ...si unaona?Mlishashinda uchaguzi na Lisu wenu pambaneni na hali zenu msimsumbue
Kawaacha mfanye lolote mtakalo bila kuwaingilia sababu mlisema kazeeka kapitwa na wakati apishe wengine mshike kawapisha
Hivi umeelewa kweli nilichoandika!? Nitajiogopaje wakati najitambua na nimeshavuka hizo hatua?Unadhani alipenda kushindwa umwenyekiti?
Kakaa pembeni akisubiri anguko la CDM.... sikuzote adui ni wa karibu sana au wa ndani kwako.
"Si ulijifanya unaweza tuone sasa mwisho wako" .... Mshana Jr mwanadamu ni wa kuogopwa sana,yaan jiogope hata wewe mwenyewe mkuu
Mbowe bila shaka amekaa kimya kwa sababu anafurahia kinachoendelea CHADEMA. Ila japo anafurahia, kwa maoni yangu simwoni akienda CHAUMMA kwa sababu siyo chama chenye maisha marefu. Kinatumika tu kuvuga mambo sasa hivi na uchaguzi ukishapita watasambaratika.Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufungq mjadala..
Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana
Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA.. chama kilichopokea wale waliokimbia CHADEMA.. Lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa
Sasa wahuni waliojitoa CHADEMA wamelitumia jina lake vibaya kuwakusanya viongozi wa mikoani ili akidi itimie wafanye justification ya upigaji
Baadhi ya viongozi hao wamechukizwa na usanii waliofanyiwa.. Na wameamua kufunguka waziwazi
Yote uliosema juu ya Mbowe ni kweli ,lakini binafsi nina watu wawili yani Mbowe na Zitto hawa watu kama unapita nao kwenye njia yenye junction kuwa nao makini.Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufungq mjadala..
Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana
Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA.. chama kilichopokea wale waliokimbia CHADEMA.. Lakini amekuwa kimya kabisa mpaka sasa
Sasa wahuni waliojitoa CHADEMA wamelitumia jina lake vibaya kuwakusanya viongozi wa mikoani ili akidi itimie wafanye justification ya upigaji
Baadhi ya viongozi hao wamechukizwa na usanii waliofanyiwa.. Na wameamua kufunguka waziwazi
Umeelewa nilichoandika mkuu, I meant "huyo mbowe unaemuulizia kimoyomoyo anajisemesha kuwa Lissu si alijifanya anaweza basi yupo kutazama anguko lake. Hivi mtu yupo tayari kufanya maridhiano na chama pinzani unategemea atalingana na mtu aliyetayari kufa kwa ajili ya watanzania? Mbowe kashakuwa adui kitambo tusitarajie chochoteHivi umeelewa kweli nilichoandika!? Nitajiogopaje wakati najitambua na nimeshavuka hizo hatua?
Kabisa kabisa....kakaa pembeni akifurahia...hii dunia hii,aiseeMbowe kinachomtesa ni lile ANGUKO maana alijiamini kupita kiasi na alijua saccos yake haiwezi kumsaliti plus mfumo wa serikali pia ulimhakikishia ushindi. Hivyo Mzee yuko kwenye wakati mgumu wa kujitibu huku akiombea mabaya CHADEMA.
Sana,wapo kimaslahi mnoYote uliosema juu ya Mbowe ni kweli ,lakini binafsi nina watu wawili yani Mbowe na Zitto hawa watu kama unapita nao kwenye njia yenye junction kuwa nao makini.
Kutesa kwa zamu Lisu na team Lisu mlipokuwa mkimporomoshea matusi si mlifurahi na kusikia raha?Kabisa kabisa....kakaa pembeni akifurahia...hii dunia hii,aisee
Vina muda basi,wanaombeba watambwaga baada ya uchaguzi...furahieni tuKutesa kwa zamu Lisu na team Lisu mlipokuwa mkimporomoshea matusi si mlifurahi na kusikia raha?
Mwacheni naye asikie raha
Ok sitaki na sitakaa niamini kama mwamba anaweza kufanya hivi ama atafanya hivi.. SidhaniUmeelewa nilichoandika mkuu, I meant "huyo mbowe unaemuulizia kimoyomoyo anajisemesha kuwa Lissu si alijifanya anaweza basi yupo kutazama anguko lake. Hivi mtu yupo tayari kufanya maridhiano na chama pinzani unategemea atalingana na mtu aliyetayari kufa kwa ajili ya watanzania? Mbowe kashakuwa adui kitambo tusitarajie chochote
Mbona hasira sasa ya niniMlishashinda uchaguzi na Lisu wenu pambaneni na hali zenu msimsumbue
Kawaacha mfanye lolote mtakalo bila kuwaingilia sababu mlisema kazeeka kapitwa na wakati apishe wengine mshike kawapisha