Ww mjomba umenisikitisha sana, sijajua una kiwango gani cha elimu, taasisi za serikali zinalipwa kutokana na public service scale and is not profit organisation ambazo nyingi wanslipwa kulingana na ugumu wa kazi, kwa hyo rudi shule usome utapata uwezo wa kupambanua mambo. Vile vile kiwango kitatofautiana kulingana amekuwa kwenye level ya uwaziri muda gani, mtu kama magufuli amekaa uwaziri muda mrefu lazima atakuwa juu ukilinganisha na waziri wa maliasili. Mishara yote inalipwa na hazina , jijengee utaratibu wa kusoma sera za serikali