Je, mauaji ya Weusi Marekani ni chachu ya ushindi wa Bi. Hilary Clinton?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,982
45,900
I make reference to Obama's speech once a while while making a comment about Donald, pale aliposema " Donald will never be a president".

Mfululizo wa mauaji ya blacks marekani umenyanyua kope zangu na kuanza kuirudia kauli hii, kwamba juhudi zinafanyika kuhakikisha kua huyo bwana haioni ikulu ya marikani.

Wanausalama wa marikani, viongozi wastaafu na baadhi ya top political figures marikani wanamuona donald kama a threat to the national security kutokana na kauli zake zisizo na spidi gavana towards other countrier and economis partners wa USA.

Donald hajawa rafiki sana wa race ya weusi ambao kwa idadi yao wanaweza kuwa a deciding factor katika uchaguzi wa novemba mwaka huu. Kutokana na kwamba yeye sio rafiki sana wa kundi hilo, ambalo nalo ni muhimu kuna ulazima wa kuhakikisha kwamba halipati.

Matukio haya bila shaka yameongeza chuki baina ya weusi na weupe huko states, lakini vile vile chuki zitakua zimeongezeka kwa mgombea yule ambaye anaonekana hana ushawishi kwa kundi hilo na ambaye anaonekana hata akishinda haki zao hazitalindwa.

Kwa upande mwingine Bi. Hilary Clinton amekua rafiki mkubwa sana wa kundi hili na other minorities ukijumuisha pia Mexicans and other latinos. Hivyo kundi hili litakua very secured endapo mgombea anayeonekana kulipenda kundi hili kundi atashinda.

Kwakua Donald hapendwi na wenye nchi, na ingawa bado anaonekana kupambana, basihakuna namna zaidi ya kupambana nae kwa kila hali.

Naona kama vile sistimu imeingia kazini na kuhakikisha huyu bwana haioni white house. Na vile vile, Bi. Hilary ana nafasi ya kushinda uchaguzi ujao based on sympathy votes, of which i think wahusika wamefanikiwa kuzipata.

That is a deciding factor. Hilary is the next US president kwa msaada wa sistimu ya huko.
 
sizani kama kuna siku Trump alishawahi kutamka kwamba awapendi kwa namna moja au nyingine watu weusi, naona hizo nihisia zako tu.
 
Ndio maana nimeiweka title katika mfumo wa swali, asante kwa kuchangia.
 
I make reference to Obama's speech once a while while making a comment about Donald, pale aliposema " Donald will never be a president".

Mfululizo wa mauaji ya blacks marekani umenyanyua kope zangu na kuanza kuirudia kauli hii, kwamba juhudi zinafanyika kuhakikisha kua huyo bwana haioni ikulu ya marikani.

Suala la kubaguliwa kwa mtu mweusi, kama alivyosema Mugabe, litakuwapo siku zote. Mwisho wake utakuwa pale tu dunia hii itakapotawaliwa na Mungu badala ya wanadamu. Hakuna nchi ya watu weupe sana au weupe kiasi ambayo nimetembelea hapa duniani na sikuona ubaguzi dhidi ya mtu mweusi; toka kwa Wazungu, Wachina, Wahindi, Waaarabu na hata machotara.

Tunachotafuta hapa ni huu ubaguzi kutoonyeshwa kwa nje, mtu mweusi kuvumiliwa kwa nje. Lakini ukweli ni kwamba kubaguliwa kwa mtu mweusi nje au ndani ya moyo wa mtu mweupe sana au kiasi litakuwapo siku zote. Ukiwa mtu mweusi lazima hili ulikubali na ujifunze kuishi nalo na kutegemea kukukutana nalo katika maisha yako, la sivyo utaishia kuwapiga risasi watu.

Ukweli ni kwamba napenda sana kuishi nchini kwangu Tanzania kwa sababu nachukia sana kubaguliwa nikiwa katika nchi za hawa watu weupe sana au kiasi, kwa kuwa tu mimi ni mtu mweusi. Mtu anejua hili hawezi kuwa na kimbelembele cha kwenda hizi nchi zao hawa jamaa, ila tu pale ikibidi.
 
NI kweli mkuu, weupe kamwe hawataacha kutudharau weusi, lakini sasa naona wamegeuza hiyo kua biashara na turufu ya kura za uamuzi kwa chaguzi zao.
 
Suala la kubaguliwa kwa mtu mweusi, kama alivyosema Mugabe, litakuwapo siku zote. Mwisho wake utakuwa pale tu dunia hii itakapotawaliwa na Mungu badala ya wanadamu. Hakuna nchi ya watu weupe sana au weupe kiasi ambayo nimetembelea hapa duniani na sikuona ubaguzi dhidi ya mtu mweusi; toka kwa Wazungu, Wachina, Wahindi, Waaarabu na hata machotara.

Tunachotafuta hapa ni huu ubaguzi kutoonyeshwa kwa nje, mtu mweusi kuvumiliwa kwa nje. Lakini ukweli ni kwamba kubaguliwa kwa mtu mweusi nje au ndani ya moyo wa mtu mweupe sana au kiasi litakuwapo siku zote. Ukiwa mtu mweusi lazima hili ulikubali na ujifunze kuishi nalo na kutegemea kukukutana nalo katika maisha yako, la sivyo utaishia kuwapiga risasi watu.

Ukweli ni kwamba napenda sana kuishi nchini kwangu Tanzania kwa sababu nachukia sana kubaguliwa nikiwa katika nchi za hawa watu weupe sana au kiasi, kwa kuwa tu mimi ni mtu mweusi. Mtu anejua hili hawezi kuwa na kimbelembele cha kwenda hizi nchi zao hawa jamaa, ila tu pale ikibidi.
Well said bro
 
Back
Top Bottom