je masanja kuwaita akina dada' viburudisho' ni sawa?

MORIA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
706
277
nimekuwa nashangaa kidogo na msanii maarufu wa zi comedy hasa pale anapowaita jinsia flan kama viburudisho( cjui ni coca cola au juice ya miwa) au mimi ndio mshamba tu, nisaidieni,nielimisheni na ikibidi nisameheni buree!...otherwise hawa jamaa wako juu sana,ingawa cku hizi wana allergy na siasa za bongo cjui kwa nini au ndo pesa ilimuuzaga Jesus...jotiiiiii
 
Ndivyo wanaume wanavyowatazama wanawake,lakini sio mimi!
 
nimekuwa nashangaa kidogo na msanii maarufu wa zi comedy hasa pale anapowaita jinsia flan kama viburudisho( cjui ni coca cola au juice ya miwa) au mimi ndio mshamba tu, nisaidieni,nielimisheni na ikibidi nisameheni buree!...otherwise hawa jamaa wako juu sana,ingawa cku hizi wana allergy na siasa za bongo cjui kwa nini au ndo pesa ilimuuzaga jesus...jotiiiiii

matangazo on progress
 
Katika mtazamo wa ki-busara, he is completely wrong. However, he is okay in as far as the comic language is concerned! Usiitafsiri tofauti na mazingira ya ki-comedy!
 
Ndivyo ilivyo siku hizi..
Mie jina ambalo silipendi kabisa ni
"Demu" lakini limezagaa mitaani si mchezo

Hili tatizo liko pande zote..
Don't get me wrong kuna wengine
Wanapenda kuitwa hivyo ..
 
Katika mtazamo wa ki-busara, he is completely wrong. However, he is okay in as far as the comic language is concerned! Usiitafsiri tofauti na mazingira ya ki-comedy!
Sio kweli,wapo watu wanapeleka ujumbe kwa kupia comedy!Mfano hao hao ze comedy unataka kuniambia hawapeleki ujumbe kwa jamii?
 
Kiburudisho ni nini?????

Then, anaweza kuwa mwanamme au mwanamke, inategemea na mtazamo wa mtu!

Lakini jinsi wakina dada tunavyozidi kujidharirisha, ndio watu kama masanja wanapata nafasi ya kutuita viburudisho!

Objective minded women can not be, viburudisho in any way!
 
Hiyo ndio maana imeitwa comedy lakini sidhani kama hilo jina linaweza kutumika nje ya jukwaa hilo,kama huamini try to introduce your girl by using that name
 
Hivi nanyi wachangiaji mnaoongeza na majina mengine ya kudhalilisha mnatuchukuliaje?
Kiukweli hilo jima lanikera hadi nimemchukia na mtamkaji. Pata picha mwanaume upo na mkeo na mamamkwe then atokee mtu akuombe umfafanulie why mwanamke anaitwa kiburudisho...
Kwangu mimi hilo ni tusi.
 
Wenyewe wanawake mbona hawakatai kuitwa hivyo na kila kipindi kinapokaribia hawakai mbali, tena anawashukuru kwa kumtazama nao wanashangilia? Kwani kiburudisho ni tusi? Mamaterry si alisema ndivyo wnaume wanavyomtazama mwanamke kwa kubeba kitu ambacho hakijai hata kwenye kiganja? Wewe mbona hukatai kuitwa buzi? na kwamba umebeba mtalimbo?

Maneno mengine ni ya burudani tu na wala haina maana mbaya. Yanasemwa ili watu wacheke na kuongeza dakika za kuishi duniani. Kwa nini upige ndita masaa 24 siku 7 kwa wiki katika wiki 52?
 
1. Demu
2. Manzi
3. Mlupo.. Popote niyasikiapo haya majina huwa nahisi kufa kufa. SIYAPENDI.
 
nimekuwa nashangaa kidogo na msanii maarufu wa zi comedy hasa pale anapowaita jinsia flan kama viburudisho( cjui ni coca cola au juice ya miwa) au mimi ndio mshamba tu, nisaidieni,nielimisheni na ikibidi nisameheni buree!...otherwise hawa jamaa wako juu sana,ingawa cku hizi wana allergy na siasa za bongo cjui kwa nini au ndo pesa ilimuuzaga Jesus...jotiiiiii

Kumbuka kazi ya mchekeshaji nikutaka wewe mtazamaji ucheke.....lakini upande wa pili ni kutaka mhusika katika tukio...au mtu aliyeguswa pia asikitike au achukie kama ulivyoona anashambuliwa capt John Komba.... Hivyo naomba msamehe maana yaweza kuwa sehemu yake ya kazi
 
Back
Top Bottom