Je Marekani, Israel wanajiandaa na vita dhidi ya Iran?

Je Marekani, Israel wanajiandaa na vita dhidi ya Iran?

Taarifa za Kijasusi za Marekani zinadai kuwa Iran ina mpango wa kufanya mashambulizi sehemu mbali mbali Mashariki ya Kati.

Jeshi la Marekani yapeleka Nyambizi itumiayo Nyuklia katika Bahari ya Maditrenia.

Israel ilisema Iran inakaribia kufikia uwezo wa kuunda bomu la Nyuklia na ikaapa itaharibu mpango huo kabla ya huo mpango kukamilika.

Israel imevamia kambi kadhaa za Iran nchini Syria na kuua, kuharibu miundombinu.

Iran imekiri kuuwawa kwa viongozi wake wakubwa 2 katika mashambulizi ya Mwezi huu huko Syria, Iran imeapa kulipiza kisasi kwa walioua viongozi wake.

Je tunaelekea kule tulipofikiria?
Tumejipangaje njia itumikayo kuleta mafuta (Homuz Strait) ikifungwa na Iran?
Israel haiwezi kupigana vita na custodian of the jews (IRAN) .

Huyo Iran ndie baba mlezi wa wayahudi .Ndio ardhi yenye population kubwa ya mayahudi ukiitoa Palestina (israe ya leo).
 
Maana nilivyosema Reaserch and Development hujajiongea kujua kaipataje?
Hizo Research na Development kuna mtu ametuzia watanzania kuzifanya ?

Usije ukaniambia tena habari za kukosa pesa za kufanyia utafiti.

Maana nitakuuliza ni kiasi cha pesa kilitumika kugundua Steam engine miaka hiyoòoooo

Au ni fedha kiasi gani ilitumika kugundua kwamba dhahabu ina thamani kuliko jiwe la kawaida maana wenzetu walitambua umuhimu na uthamani wa dhahabu kabla hata machimbo rasmi yaliyopo Afrika hayajaanzishwa.

Level with me, sir.
 
kwa hiyo wewe mkuu, pointi yako ni watanzania wote ni vichwa maji sio.
 
kwa hiyo wewe mkuu, pointi yako ni watanzania wote ni vichwa maji sio.
Nahitaji kujua kwanini tuna rasimali nyingi lakini tunashindwa kuzigeuza ziwe na tija kwa watanzania.
Majibu utakayonipa ndiyo yatatusaidia kujua kama sisi ni vichwa maji au la

Kwa mfano unakuta
90% ya madini yanayochimbwa hapa nchini huuzwa na kufaidisha mataifa ya nje, unafikiri ni kwa nini ?
 
Pesa hakuna Tril 70 zatakiwa.

Pia Awamu ya 5 ilisababisha mambo yarudi nyuma
unahis unaeza kuwa na hela kama masoko ela zinaingia mifukon kwa watu , usafi wa city centre ela inaingia mifukon kwa watu , trafiki ela inaingia mifuko , kila chanzo cha mapato ela inaingia mifukon na sio serikalin mtasingizia marehem mpk mfe na nyiny , mara wakolon walitunyonya mara mara ukolon mambo leo mara marehem na kesho sijui atasingiziwa nan ?
 
Nahitaji kujua kwanini tuna rasimali nyingi lakini tunashindwa kuzigeuza ziwe na tija kwa watanzania.
Majibu utakayonipa ndiyo yatatusaidia kujua kama sisi ni vichwa maji au la

Kwa mfano unakuta
90% ya madini yanayochimbwa hapa nchini huuzwa na kufaidisha mataifa ya nje, unafikiri ni kwa nini ?
Elimu Elimu Elimu
Umasikini Umasikini Umasikini
 
Reaserch and Development zinahitaji pesa nyingi sana, Serikali ya Tanzania haiwekezi kwenye RnD..
Hata kile kilimo cha Bashe kilitakiwa kipitie kwanza RnD kabla hawajapeleka watu.

5G Huawei haimiliki peke yake, kuna sehemu anamiliki na kuna sehemu hamiliki hivyo analipia na kulipwa kutokana na matimizi au kuuzwa kwa bidhaa husika
ndo hadi na vyoo ndo mpk mpewe mkopo ? tusitetee wajinga
 
nan wa kuielimisha jamii kuhusu afya zao ? hatuma viongoz tuna ujinga tu , hatuna mipango ya muda mrefu angalia hata hz BRT ni ushuz mtupu no marekebisho halaf had mabango yametoka tyr, ndo ije kuwa ishu za gas na oil kutumika ipasavyo?
Swala la ujenzi wa choo sio swala la elimu kutoka serikalini, ni swala la jamii, ukienda sehemu hakuna vyoo jua watu wa hiyo sehemu akili zao ni ndogo
 
Nahitaji kujua kwanini tuna rasimali nyingi lakini tunashindwa kuzigeuza ziwe na tija kwa watanzania.
Majibu utakayonipa ndiyo yatatusaidia kujua kama sisi ni vichwa maji au la

Kwa mfano unakuta
90% ya madini yanayochimbwa hapa nchini huuzwa na kufaidisha mataifa ya nje, unafikiri ni kwa nini ?
Shida kubwa sio pesa wala sio ukosefu wa akili wala si sababu za kukosa ubunifu, tatizo kubwa ni serikali zetu.

Serikali zetu ktk kipindi cha kupigania uhuru walikuwa wakisainishwa mikataba ya amani ama mikataba ya kijinga ambayo inaControl maamuzi ya nchi zetu mpaka leo hii, japo wanasiasa hawawezi kukueleza hili jambo.

Jiulize kwanini hii nchi kijana akigundulika kavumbua siraha kwanini hapewi sapoti anawekwa kizuizini?, kijana akigundua chanzo cha nishati ambayo haitegemei mafuta kwanini kijana huyu anafanyiwa siasa mpaka anasahaulika ama anafanyiwa hujuma za kupelekwa shule ambako hakuna msaada zaid ya kumjaza upumbavu wa kijinga.

Jiulize kwanini hii nchi ina madini ya Uranium ambayo ndio chanzo cha nishati ya nuclear itumikayo katika uzalishaji wa umeme&siraha nzito lkn imepigwa BANN kuyachimba hayo madini?

Kwanini vijana wanaogundua magari&ndege wanafanyiwa hujuma kwa kuwaita hawajafanya jipya kuwa walichofanya kimeshafanywa na watu ama kuzuiwa kwa kusema vumbuzi zao hazina ubora ama mpka wapewe ruhusa na serikali.

Jiulize hayo yoote yanafanyika kwanini? Kiufupi kuna watu humu humu nchini kazi yao ni kupeleka taarifa za mienendo ya maendeleo nchini ktk hizo nchi za wamagharibi then wao ndio huamua kuzuia jambo ambalo wanaona litauwa mipango yao ya kuzifanya nchi zetu kuwa tegemezi ama litafanya biashara zao kufa pia kuleta ushindani.

Ni watu hawa hawa wakiona kijana kavumbua chombo cha anga hawatak kumpa sapoti zaidi ya kumkatisha tamaa kuwa vumbuzi yake haina ubora wala usalama, je vumbuzi zao zilianzaje kama hazikuwa na usalama?

Shida kubwa ya umasikin na kukosa technolojia nchini mwetu na nchi za afrika ni wanasiasa wetu kwa uoga wao wanashindwa kujitenga na hiyo mikataba ambayo watangulizi waliisaini na wao wanaendelea kuisaini bila kujali hali ya vizazi vijavyo.

Kuwa na rasilimali nyingi hakukuhikikishii maendeleo kama hauna utayari wa kuzitumia hizo rasilimali.

Vichwa vya wengi humu vimejazwa uchafu wa mzungu ndiomaana nionapo muafrika anamsifia mzungu+mtu mweupe huwa naamin huyu muafrika ana mashetan akilini, huwezi kumpenda mtu anaekandamiza maendeleo ya nchi yako kwa visingizio vya mijimisaada vya kishenzi.

Tuamke
 
Nchi yetu haina vipaumbele vya muda mrefu mf Nchi ilitakiwa kumiliki, kuchimba madini yote na kuyahifadhi kama mbadala wa USD
 
Naona Iran kaanza rusha kwenda Israel kutokea Syria
 
Israeli Military Intelligence alongside Mossad has stated today that the Rocket Barrage that was launched from Southern Lebanon into Israel on Thursday was carried out with both the “Knowledge and Support” of Iran and Hezbollah. https://t.co/pZTSfh5DPr
 
Back
Top Bottom