Nimesoma mahali flan kuwa Dr.Mwele aliolewa na Mzee Kimambi ambaye ni Baba yake Mange kwahiyo alikuwa ni Step Mom wake.Ngoja tusubiri lakini huyo ni mama wa Hiyari wa Mange.
Ahsante kwa hili.Nimesoma mahali flan kuwa Dr.Mwele aliolewa na Mzee Kimambi ambaye ni Baba yake Mange kwahiyo alikuwa ni Step Mom wake.
Ooh ko kulikua na undugu fulani kati ya mobimba na Dada wa taifa
Baba yake Mwele na Le Mutuz amemuoa na anaishi na Mama yake Mange (Mama Kilango) wanatoka UpareniππjokesπjamaniπmsinihukumuπNimesoma mahali flan kuwa Dr.Mwele aliolewa na Mzee Kimambi ambaye ni Baba yake Mange kwahiyo alikuwa ni Step Mom wake.
Mbona Mange alishawahi kusema mama yake ni Mmakonde? Hata picha aliionyesha nafikiri Anne Kilango ni Mparea ama?Baba yake Mwele na Le Mutuz amemuoa na anaishi na Mama yake Mange (Mama Kilango)
Duh hii nchi bwana ni changamoto kweli yaani siri juu ya siri, ndo maana nkawa na mashaka na ugomvi waoNdio ukweli, Mobimba na marehemu Dr. Ni mtu na dadaake, wakati Mange na Marehemu ni mtu na step mom (tena mom ambaye alihusika sana kumsaidia huyo dada wa insta)!
Ila Mange alinunua kesi, maana ali pair na ex wa mobimba aliyeko USA kumfanyia personal attack baharia, ila wanajuana vizuri tu!
KimadaNimesoma mahali flan kuwa Dr.Mwele aliolewa na Mzee Kimambi ambaye ni Baba yake Mange kwahiyo alikuwa ni Step Mom wake.
Mama Kilango hana uhusiano na Mange zaidi ya kuwa wote ni Wapare.Baba yake Mwele na Le Mutuz amemuoa na anaishi na Mama yake Mange (Mama Kilango) wanatoka Upareniπππππ
Pia Mange anapenda watu wenye majina makubwa, ilikuwa fahari kwake kuwa mtoto wa Mwele.Dr. alikuwa mistress wa Mzee Kimambi.
Na kwa kiasi fulani Dr. alifanikiwa kumuelewa/kumchukulia Mange madhaifu yake maana mange hapatani na watu wengi kwa maana ya ndugu.
Hili liko wazi πPia Mange anapenda watu wenye majina makubwa, ilikuwa fahari kwake kuwa mtoto wa Mwele.
Wewe acha kupotosha. Mwele alikuwa mwanamke wa Baba Mange, waliishi pamoja for more than a year Upanga. So Mwele ni mamaake wa kambo Mange na uhusiano wao umenoga sana kwa sababu Mange hakumpenda mamaake wa kambo wa nyumba kubwa (Mama wa kaka zake akina Anil na Kimambi) so seems alifurahi baba kuwa na mwanamke mwingine.Baba yake Mwele na Le Mutuz amemuoa na anaishi na Mama yake Mange (Mama Kilango) wanatoka Upareniπππππ
Mkuu Futa huu uongo utapelekea upotoshaji au wewe kuitwa muongoBaba yake Mwele na Le Mutuz amemuoa na anaishi na Mama yake Mange (Mama Kilango) wanatoka Upareniπππππ