Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Moja ya kitu niliamini Tanzania ina wajinga wengi ni pale walipoamini eti jeshi litawasaidia. Yaani jeshi la nkunda lisaidie wananchi, nkunda huyu huyu wa Kilosa au Nkunda mwingine?Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.
Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
Mie au Mange?
Zilitembea njugu mawe kila sehemu za kichwa tu km tupo CongoMbona kuna mtu alituaminisha tar 29 hakutokua na nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa, tutoke kuendelea na shughuli zetu.
Lakini mwisho wa siku???
Ila ukweli Kimambi ni mzalendo, anashindwa tu afanyeje.Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.
Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
No regrets! Wewe umewahi kuona wapi war strategist akiwaambia wapiganaji wake, “adui yetu amejipanga kuliko sisi, atatushinda mapema asubuhi”?Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.
Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
AtIla ukweli Kimambi ni mzalendo, anashindwa tu afanyeje.
Na wewe kuamini cdf angekua wa Mara basi palikua na uwezekano unaingia kwenye kundi hilohilo,jeshi ni complex organization,halitegemei cdf tuMoja ya kitu niliamini Tanzania ina wajinga wengi ni pale walipoamini eti jeshi litawasaidia. Yaani jeshi la nkunda lisaidie wananchi, nkunda huyu huyu wa Kilosa au Nkunda mwingine?
Bora hata CDF angekuwa mtu wa Mara tungeweza kuwaza mengine
What are you trying to establish? Mange ni next level! Humuwezi. Nenda CCM watakusikiliza siyo hapaJe Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.
Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
ccm wametuingiza mkenge mara nyingi zaidi.Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.
Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
Uzuri Amiri Jeshi Mkuu alishatoa angalizo, wasije kusema hawakuambiwa.Vijana acheni kudanganyika mkafanya uhalifu
Vifo vingi zaidi ya vile vya chaji ChandeZilitembea njugu mawe kila sehemu za kichwa tu km tupo Congo
Ahsante Mungu kwa kutonifanya kuwa nyumbu, saa hizi ningekuwa natokwa na ufala kama huu.Ana impact kubwa kuliko ya ng’ombe wote wa Mama. Hii nchi ingekuwa na kina Mange hata elfu moja tu, mtawala angekuwa na uzalendo mkubwa na mwenye heshima kwa watawaliwa!
This is above your grade. Ng’ombe unachoweza kufanya ni kusubiri kuswagwa!Ahsante Mungu kwa kutonifanya kuwa nyumbu, saa hizi ningekuwa natokwa na ufala kama huu.