Je! Mamlaka zinamuogopa Prof. Mlacha,??

Je! Mamlaka zinamuogopa Prof. Mlacha,??

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,863
Habari za hapa wanaJukwaa..

Prof. Mlacha aliyekuwa DVC Udom pia mmiliki wa shule ya Sekondari Alikachenje mamlaka zinamuogopa?

1. Anakwepa kodi
Wafanyakazi wa Alikachenje wanalipwa fedha mkononi badala ya malipo kufanyika kwa njia ya benki. Anafanya hivi ili kukwepa kulipa kodi ... Hawakatwi PAYE huu ni wizi wa hali ya juu sana

2. Hawasilishi michango ya wafanyakazi ktk mifuko ya kijamii.
Wafanyakazi wa Alikachenje michango yao haiwasilishwi ktk mifuko ya kijamii.

3. Makato ya Bodo ya mikopo.
Shule ya Alikachenje ina waalimu wadaiwa wa Bodi ya mikopo..... Kwa ujeuri wa Prof Mlacha kaamua kuwalinda.

4. Kutokuwa na Uongozi wa shule
Tangu mwaka 2015 shule inaendeshwa kisanii.... Haina mkuu wa shule wala bodi ya shule.....Ukiulizwa anasema "The world is to late to stop me"


TRA Same pamoja ofisi ya Afisa Elimu Same wanamuogopa huyu Mzee??


Nawasilisha!
 
Hakuna la maana uliloandika. Mfanyakazi na mwajiri walikubaliana kulipana kwa mfumo UPI, ajira rasmi au kibarua.
Unachotakiwa utuletee matokea ya shule ova, swala la uendeshaji anajua mwenyewe. Private mtumishi ukiona mazingira magumu unajikata kimyakimya
 
Habari za hapa wanaJukwaa..

Prof. Mlacha aliyekuwa DVC Udom pia mmiliki wa shule ya Sekondari Alikachenje mamlaka zinamuogopa?

#1. Anakwepa kodi
Wafanyakazi wa Alikachenje wanalipwa fedha mkononi badala ya malipo kufanyika kwa njia ya benki.

Anafanya hivi ili kukwepa kulipa kodi ... Hawakatwi PAYE huu ni wizi wa hali ya juu sana

#2. Hawasilishi michango ya wafanyakazi ktk mifuko ya kijamii.

Wafanyakazi wa Alikachenje michango yao haiwasilishwi ktk mifuko ya kijamii.

#3. Makato ya Bodo ya mikopo.

Shule ya Alikachenje ina waalimu wadaiwa wa Bodi ya mikopo..... Kwa ujeuri wa Prof Mlacha kaamua kuwalinda.

#4. Kutokuwa na Uongozi wa shule

Tangu mwaka 2015 shule inaendeshwa kisanii.... Haina mkuu wa shule wala bodi ya shule.....

Ukiulizwa anasema "The world is to late to stop me"


TRA Same pamoja ofisi ya Afisa Elimu Same wanamuogopa huyu Mzee??


Nawasilisha!
Asa shida nini hapo... Mi nlijua hawalipi mshahara, kumbe anawalipa.....sasa we ukitaka subiri ukishapewa mshahara wako kaa chini toa hiyo payee, pesa ya mkopo na michango mingine kisha peleka huko unakotaka ipelekwe.... Acha wenzio wapate hela yao, kama wewe unapenda kukatwa michango, kata kwenye mshahara wako upeleke mwenyewe... Alaaah.....
 
Back
Top Bottom