Nashukuru kwa more explanatory kwenye hii hoja nzuri sanandugu yangu usijisumbue kutafakari km ujui haya yalianzia wap !? na mpka nimefungua uzi ndio uje nimetafakar sikupata majibu
YESU katika biblia tunaambiwa alipoitwa na mama yake kipindi anahubiri meno alisema km ifuatavyo mama na ndugu zangu ni wale wanaolifuata neno la MUNGU
TWENDE CHINI kwanza nikueleze kuna siku nilijitia mjuqji kumsifia mama hoja ilikuwa hv je ni nan anafanya kazi sana ili mtoto azaliwe mm kujiamin nikasema mama jamaa mmoja akaniambia hapa tunazungumzia instrinsic things ma si swala la maumbile nikawa nazozana na uyo jamaa ndio jamaa akawaita wafada fulan akawaambia kuwa uyu anabishana na mm sababu mm na yeye wote ni wanaume mjibuni nyinyi wakaniambia maswala ya sijui umekaa tumboni miezi sita ni swala la maumbile hapa tunabishana mambo ya kisayansi kuna kitu kipo ndan ya mwanaume hicho mdicho kimachobeba whole process ya mimba kutungwa adi mtoto kuzaliwa na mwanaume ndio ana X AND Y mwanamke yy ana X tu
sasa kapunyaga unamweleza yeye haelewi ni matusi tu kelele mpaka mtaa wa pili ni mkorofi na ni kisirani unafanyaje mkuuMama ndiye mwenye nguvu pekee ya kuwa shape watoto in postively way or negatively way
Mama atabakia mama hata akifanya baya still ni mama . Pia sio kwamba aogopwe kama Mungu ety akipoyonga usimwambie. Wachaneni makavuu
Kwani kuna mtu ambaye si yeye..!!?? Hata kaka ni kaka^Mama ni mama tu^
Mama hata awe na vituko gani hawezi mfanyia vinbwanga mwanae wa kumzaa...nilichojifunza ni kwamba mama hata awe katika hali gani hawezi inyanyapaa damu yake ambaye ndiyo wewe hapo mtoto wake.Watu wanaogopa kufunguka ukweli...lakini wamama hawana tofauti kama wanawake wengine. Drama tupu. Awe mstaarabu, asiwe mstaarabu...mwanamke hakosi vituko.
True!! Hiyo ni process ya nature kabisa ...lakini nikuulize...kwenye utu! Kama wewe ni mkristo, ndo inakuruhusu uwachukie waislam? Yani uwe na ubaguzi?Mama hata awe na vituko gani hawezi mfanyia vinbwanga mwanae wa kumzaa...nilichojifunza ni kwamba mama hata awe katika hali gani hawezi inyanyapaa damu yake ambaye ndiyo wewe hapo mtoto wake.
Hapo ndio hoja kuwa Mama ni Mungu inapokuja.
Shukuru MunguMama hata awe na vituko gani hawezi mfanyia vinbwanga mwanae wa kumzaa...nilichojifunza ni kwamba mama hata awe katika hali gani hawezi inyanyapaa damu yake ambaye ndiyo wewe hapo mtoto wake.
Hapo ndio hoja kuwa Mama ni Mungu inapokuja.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ni mama kwako, ni mke au mchepuko kwa mwingine.......sasa hapo kwa kila mmoja ana taswira tofauti.
Mh shukuru Mungu ikiwa umesalimika na mtihani huuMama hata awe na vituko gani hawezi mfanyia vinbwanga mwanae wa kumzaa...nilichojifunza ni kwamba mama hata awe katika hali gani hawezi inyanyapaa damu yake ambaye ndiyo wewe hapo mtoto wake.
Hapo ndio hoja kuwa Mama ni Mungu inapokuja.
mweleze uyo !!! km amepata mama mstqarabu ashukuru snShukuru Mungu
Dunia ni ndogo hii na vimbwanga havijawahi kuisha.
Mama hufanya mambo mengi ya ajabu kwa watoo wao,
Usiombe yakukut
HII pia NILIWAH KUAMBIWAHII KAULI "MAMA NI MUNGU WA PILI DUNIANI"
Imepoteza wengi sana... Na ni kijinga, kipumbavu na kishamba...
Mama ni mama...hawezi kuwa Mungu...