Niliwahi kusema hili kwenye kadamnasi, nikatukanwa sana.Watu wanaogopa kufunguka ukweli...lakini wamama hawana tofauti kama wanawake wengine. Drama tupu. Awe mstaarabu, asiwe mstaarabu...mwanamke hakosi vituko.
Kabisa muheshimiwa.Niliwahi kusema hili kwenye kadamnasi, nikatukanwa sana.
Baadhi ya walionitukana walinifata na kuniambia nimesema ukweli.
Mama ni mwema kwa wanae na mmewe, labda na ndugu zake. Mama huyu huyu ni mshenzi wa kwa watoto wa wenzie na waume wa wenzake.
I love women.
mkuu hii comment imen8gusa naomba niulize swali je una dada zako apo nyumban ? je mama aki9ngea nao pia huwa anawaka ?Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.
Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.
Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.
Yea, dada yupo...ila kamcopy mthamas kila kitu hadi na kuzidisha...mpaka unaona kabisa mama hapa anaonewa(huwa siingiliagi ugomvi wa yeyote najikalia kimya)... wakianza jibizana hapo wuuueeeeh!!! Afu unakuta ni kitu cha kipuuzi sana ambapo mmoja anafaa kuelewa situation avunge lakini wapi....perepereperepere!!! Woi!mkuu hii comment imen8gusa naomba niulize swali je una dada zako apo nyumban ? je mama aki9ngea nao pia huwa anawaka ?
kama ukichunguza vizzur utagundua kuwa mama huwa wanajibu kwa kelele kwa watoto wa kiume tu ila wa kike mmmmmh mara chache na ikitokea wakifokeana ayo matusi yake usipime
Mama ni habari nyingineHabari wadau!
Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI.
Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama umezaliwa sehemu mama mkorofi DUMIA hii utapata tabu sana kila mtu anaongea lake.
Yote ni kumpa utukufu Mama
- Utasikia ukitaka kufanikiwa ww msikilize mama
- Mara sijui mama ndio anatoa riziki
- Mara mama ndio mama NK.
Je, ufanye nini kama mama yako akikutukana?
Je, ufanye nini kama mama yako ana kisirani?
Je, mama ni MUNGU?
MASWALI
Je ni kwann mama hupenda kuongea kwa kelele na wana wa kiume lakini huongea kistaarabu na wana wa kike mean dada zako ?????
TUANZIE HAPO !!!!!!!!!!!!!!!!!
MWENDELEZO / UPDATES
nimepitia comment za wadau kila mtu anaongea lake ila hii comment imenigusa
Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.
Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.
Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.
Kwa mujibu wa neno la Mungu mama sio Mungu ila biblia inatuagiza kuwatii wazazi wetu katika Bwana. Pia mtu asipowaheshimu wazazi wake, anajipunguzia siku zake za kuishi.Habari wadau!
Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI.
Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama umezaliwa sehemu mama mkorofi DUMIA hii utapata tabu sana kila mtu anaongea lake.
Yote ni kumpa utukufu Mama
- Utasikia ukitaka kufanikiwa ww msikilize mama
- Mara sijui mama ndio anatoa riziki
- Mara mama ndio mama NK.
Je, ufanye nini kama mama yako akikutukana?
Je, ufanye nini kama mama yako ana kisirani?
Je, mama ni MUNGU?
MASWALI
Je ni kwann mama hupenda kuongea kwa kelele na wana wa kiume lakini huongea kistaarabu na wana wa kike mean dada zako ?????
TUANZIE HAPO !!!!!!!!!!!!!!!!!
MWENDELEZO / UPDATES
nimepitia comment za wadau kila mtu anaongea lake ila hii comment imenigusa
Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.
Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.
Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.
Nyi watu mnaoenda enda tuuuu ukishasoma bibilia baaaas....wewe ni mtakatifu!!!Kwa mujibu wa neno la Mungu mama sio Mungu ila biblia inatuagiza kuwatii wazazi wetu katika Bwana. Pia mtu asipowaheshimu wazazi wake, anajipunguzia siku zake za kuishi.
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, “Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.” Waefeso 6:2-3 BHN