Je, Mama ni Mungu?

Je, Mama ni Mungu?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,074
Habari wadau!

Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI.

Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama umezaliwa sehemu mama mkorofi DUMIA hii utapata tabu sana kila mtu anaongea lake.
  • Utasikia ukitaka kufanikiwa ww msikilize mama
  • Mara sijui mama ndio anatoa riziki
  • Mara mama ndio mama NK.
Yote ni kumpa utukufu Mama

Je, ufanye nini kama mama yako akikutukana?
Je, ufanye nini kama mama yako ana kisirani?
Je, mama ni MUNGU?

MASWALI
Je ni kwann mama hupenda kuongea kwa kelele na wana wa kiume lakini huongea kistaarabu na wana wa kike mean dada zako ?????

TUANZIE HAPO !!!!!!!!!!!!!!!!!

MWENDELEZO / UPDATES
nimepitia comment za wadau kila mtu anaongea lake ila hii comment imenigusa

Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.

Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.

Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.

TWENDE KAZ WADAU LEO WEEKEND ni mda sahihi wa kupata jibu chanya pia nasubir mawazo kutoka kwa Mshana Jr Extrovert

km ku na visa umeahi fanyiwa na mama yako ia unawezq kuhadithia ili tuweke balance
 
Wewe pambana adi umri huo najua wajua zuri lipi na baya lipi tengeneza batan ya Delete katika ubongo wako ukiona upumbavu mwingi unakurudisha nyuma ikumbuke batan yako bonyeza alafu nini ata wanaweke vichaa wanapewa mimba
 
Ni mama kwako, ni mke au mchepuko kwa mwingine.......sasa hapo kwa kila mmoja ana taswira tofauti.
 
Watu wanaogopa kufunguka ukweli...lakini wamama hawana tofauti kama wanawake wengine. Drama tupu. Awe mstaarabu, asiwe mstaarabu...mwanamke hakosi vituko.
Niliwahi kusema hili kwenye kadamnasi, nikatukanwa sana.

Baadhi ya walionitukana walinifata na kuniambia nimesema ukweli.

Mama ni mwema kwa wanae na mmewe, labda na ndugu zake. Mama huyu huyu ni mshenzi wa kwa watoto wa wenzie na waume wa wenzake.

I love women.
 
Wakulungwa mama asichukuliwe poa kabisa......na mama atabakia kuwa mama Tu!

Ktk Imani ya kiislamu tunaambiwa kuwa mama ana nafasi tatu na ya nne ndio Baba....najua nimekuchangaya au sio....relux basi Kwanza!

Yaan ni HV kama mko ktk foleni let's say mnaingia room flan kupata huduma basi....mama ataitwa mara moja mbili na tatu na nne ndo Baba sijui umenipata? Hii inaonyesha jinsi mama alivyo na uzito mkubwa.

Hlf pale mama na Baba wanapokuita Kwa Wakati mmoja...basi unafaa umuitikie mama Kwanza....Ila hii Kwa wanao elewa mafundisho ya dini...so usije ukafanya HV Kwa mdingi ambae haelewi Dini mi simo usije kunilaumu baadae!!!
 
Niliwahi kusema hili kwenye kadamnasi, nikatukanwa sana.

Baadhi ya walionitukana walinifata na kuniambia nimesema ukweli.

Mama ni mwema kwa wanae na mmewe, labda na ndugu zake. Mama huyu huyu ni mshenzi wa kwa watoto wa wenzie na waume wa wenzake.

I love women.
Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.

Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.

Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.
 
Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.

Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.

Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.
mkuu hii comment imen8gusa naomba niulize swali je una dada zako apo nyumban ? je mama aki9ngea nao pia huwa anawaka ?

kama ukichunguza vizzur utagundua kuwa mama huwa wanajibu kwa kelele kwa watoto wa kiume tu ila wa kike mmmmmh mara chache na ikitokea wakifokeana ayo matusi yake usipime
 
Yea, dada yupo...ila kamcopy mthamas kila kitu hadi na kuzidisha...mpaka unaona kabisa mama hapa anaonewa(huwa siingiliagi ugomvi wa yeyote najikalia kimya)... wakianza jibizana hapo wuuueeeeh!!! Afu unakuta ni kitu cha kipuuzi sana ambapo mmoja anafaa kuelewa situation avunge lakini wapi....perepereperepere!!! Woi!

Braza nae, amekuwa na defense mechanism kwa sababu ya hizo kelele alizokuwa anapigiwa...kwa hiyo nayeye huwezi kureason naye...kitu kidogo, fujo...kwa iyo hapigiwi kelele.

Cha kushangaza ukimuambia maza, reaction yao hawa wamecopy kutoka kwako...haelewi... utaskia kilio na maswali kama "ivi ni wapi nilimkosea Mungu?" Smh.
 
Habari wadau!

Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI.

Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama umezaliwa sehemu mama mkorofi DUMIA hii utapata tabu sana kila mtu anaongea lake.
  • Utasikia ukitaka kufanikiwa ww msikilize mama
  • Mara sijui mama ndio anatoa riziki
  • Mara mama ndio mama NK.
Yote ni kumpa utukufu Mama

Je, ufanye nini kama mama yako akikutukana?
Je, ufanye nini kama mama yako ana kisirani?
Je, mama ni MUNGU?

MASWALI
Je ni kwann mama hupenda kuongea kwa kelele na wana wa kiume lakini huongea kistaarabu na wana wa kike mean dada zako ?????

TUANZIE HAPO !!!!!!!!!!!!!!!!!

MWENDELEZO / UPDATES
nimepitia comment za wadau kila mtu anaongea lake ila hii comment imenigusa

Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.

Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.

Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.
Mama ni habari nyingine

Ulimwengu ndo mama
.
Mama anaweza akawa hana darasa lakini atafanya jambo la akili kubwa sana

Mtukane baba hakuna kitajachotokea mtukane mama uone balaa!
 
Kiukweli wamama ni mtihani mno
Mama alienizaa si msemaji japo ana mitihani yake
Bibi alienilea ambae ndio kama mama sasa ana mitihani mikubwa kiasi tumefika sehemu tunaomba Mungu ambadilishe mwenyewe maana hakuna wa kumwambia kitu wala vikao vya ndugu zake wamfahamishe anayofanya havijawahi kuzaa matunda. Kila mtoto anaetoka nyumban hatamani kurudi kamwe , kila simu zinazopigwa ni za matukio, ki ukwel Mungu pekee ndie wakumbadilisha
 
Habari wadau!

Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI.

Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama umezaliwa sehemu mama mkorofi DUMIA hii utapata tabu sana kila mtu anaongea lake.
  • Utasikia ukitaka kufanikiwa ww msikilize mama
  • Mara sijui mama ndio anatoa riziki
  • Mara mama ndio mama NK.
Yote ni kumpa utukufu Mama

Je, ufanye nini kama mama yako akikutukana?
Je, ufanye nini kama mama yako ana kisirani?
Je, mama ni MUNGU?

MASWALI
Je ni kwann mama hupenda kuongea kwa kelele na wana wa kiume lakini huongea kistaarabu na wana wa kike mean dada zako ?????

TUANZIE HAPO !!!!!!!!!!!!!!!!!

MWENDELEZO / UPDATES
nimepitia comment za wadau kila mtu anaongea lake ila hii comment imenigusa

Kabisa muheshimiwa.
Unajua most of wale wanatukana...ni ili watu wengine wawaone wako perfect kumbe wana yao wameficha... unajua ile taswira ya kutaka cha kwako kionekane better. Kwa sababu unayo attachment, kwa iyo kikionekana na udhaifu basi wewe unao.

Man, i used to think my mum was perfect mpaka nilivyo grow up...naanza kuona reality. Umbea, beef ambazo hazina tija, kucomplain na hutaki kupewa solution, kuwa na double standards, kutokutaka kuambiwa ukweli(na ukijaribu kuongea bila ugomvi ni unajibiwa na kelele), dellusions...yani hizi ni shida za kila siku za wanawake. Every woman has them.

Na haimaanishi ni mtu mbaya....its just what it is.... na ninampeeenda tu sana.
Kwa mujibu wa neno la Mungu mama sio Mungu ila biblia inatuagiza kuwatii wazazi wetu katika Bwana. Pia mtu asipowaheshimu wazazi wake, anajipunguzia siku zake za kuishi.
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, “Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.” Waefeso 6:2‭-‬3 BHN
 
Mama ni mungu
Baba ni mungu
Hata wewe ni mungu.

Ila sio Mungu Mkuu.
Wamama ni wazuri akiwa Mama yako, Ila wapo piah wamama ambao ni wamama hovyo tuu.
Ni vile tumeambiwa tuwaheshimu
 
Mama ni mama na yapaswa kumtii ikiwa ni maamrisho ya mwenyezi Mungu.
Swala la mama kukupa laana au kufanya rizki yako kuwa ndogo sio Mama mwenye mamlaka nayo ila mwenyezi Mungu huruhusu hayo kutokea kwa kua hujamtii mwenyezi Mungu ktk maamrisho aliyokupa ya kumtii mzazi na kumpa daraja hilo.
Ila wengi wetu huona ni laana kutoka kwa mama na sio Mungu karuhusu
 
Kwa mujibu wa neno la Mungu mama sio Mungu ila biblia inatuagiza kuwatii wazazi wetu katika Bwana. Pia mtu asipowaheshimu wazazi wake, anajipunguzia siku zake za kuishi.
“Waheshimu Baba na mama yako,” hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani, “Upate fanaka na kuishi miaka mingi duniani.” Waefeso 6:2‭-‬3 BHN
Nyi watu mnaoenda enda tuuuu ukishasoma bibilia baaaas....wewe ni mtakatifu!!!
Since bibilia ndo kila kitu, si umetoa huo mstari agano la kale?
Hebu fafanua hii
Mambo ya Walawi 17-23
"23 Lakini hataingia ndani ya pazia, wala asikaribie madhabahu, kwa sababu ana kilema; ili kwamba asipanajisi patakatifu pangu; kwa kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye."
 
Back
Top Bottom