Malaya ni mtu yeyote anayekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu zaidi ya mmoja.
Kutokama na maelezo yako, unamaanisha malaya ni mwanamke tu,
Na je mwanaume chovya chovya ni nani???
Malaya hana uhusiano wa kimapenzi. Kawaida anatumia mwili wake kutafuta pesa. Yaani malaya ni anayebadilisha pesa kwa ngono. Iwe mwanaume au mwanamke.
Kwa tafsiri za kawaida, hakuna mwanaume malaya.
Kwasababu tunaishi kwenye jamii ambayo mwanaume anaonekana superior.
Kidume aka Rijali
Kufanyaje??
Je anaependa sana kutia/wa tuseme kila siku lazima apige show na zaidi ya watu watatu lakini bure bure bila kubadilishana na hela sio Malaya??
Kwa mujibu wa wanaume wa kibongo mwanamke malaya ni atakayewaacha au kuwaumbua wanamwita malaya, au amemkosa bila kutegemea, au anahisi kuna mwenzie anapendwa zaidi yake na hana la kufanya (maneno ya mkosaji)
Malaya hana uhusiano wa kimapenzi. Kawaida anatumia mwili wake kutafuta pesa. Yaani malaya ni anayebadilisha pesa kwa ngono. Iwe mwanaume au mwanamke.
Wote ni malaya sio men au women ilimradi tu ana mahusiano na mtu zaid ya mmoja.
Kutokama na maelezo yako, unamaanisha malaya ni mwanamke tu,
Na je mwanaume chovya chovya ni nani???
Sasa Inakuwaje Pale Mtu Alikuwa Na Mpenzi Na Hajawai Kubadilishana Nae Ngono Na Pesa Siku Anamkuta Amesimama Na Mwanaume Mwingine Anamwita Malaya? Je? Anajuaje Kama Anataka Abadilishane Ngono Na Pesa? Je? Kutongozwa Tu Na Mwingine Yatosha Kumwita Malaya?
Kutokama na maelezo yako, unamaanisha malaya ni mwanamke tu,
Na je mwanaume chovya chovya ni nani???
Malaya kwa kingereza anaitwa prostitute/harlot. Sex addict, yeye anaweza kugegedwa na wanaume zaidi ya wawili kwa siku bila kulipwa muradi tu ameridhika.
My apologies, lady. But...
Ninyi watu mnamatatizo sana, endelee kufungua zipu mtapata na cheti na tuzo.
Sipati Picha Jinsi Kitakavyoandikwa Hicho Cheti Lazima Kitaanza Na Mtaalam Wa.......