sina muda wa kurudia hapa,rejea hotuba za upinzani wizara ya mambo ya ndani kuanzia mwaka 2011-2014Ufinyu wa akili ni pale unapolalamika kuwa kitu hakiko sawa ila haupendekezi kirelebishwe vipi.
Ebu tupia hiyo reform ya polisi ifanyikaje?
Hahahaha ...hiyo Kali may beHapo kwa bibie FF anaweza akawa kamlenga nana wa taifa na azimio la Arusha.
"Ushujaa" nadhani hata Makonda alidhani hivyo..,,anzia kwa Kabwe.....ngoja nikueleze Makonda angekuwa shujaa Kama angesema hayo katika hali gani...
1. Mpinzani wa serikali.
2. Angekuwa Na cheo cha chini kabisa nje ya kamati ya ulinzi Na Usalama.
3. Angekuwa yeye Mwenyewe Ni polisi...
Neno "Shujaa" lingefi"t Sana hapo
Kwa ujumla, Makonda sio "Shujaa" na huwezi kuwa "shujaa" kwa kusema Tu, Na kitafuta umaarufu hewa.....
Ngoja nikwambie baadhi ya mashujaa WA siasa za Bongo baada ya uchaguzi mkuu hadi Leo Nov. 2016.
1.Bashe
2.Lema
3.Lissu
4.NA wengine wengi...
Hebu kwanza leta maana ya Neno "JASIRI" kama ulivyolitumia katika uzi wako kisha tutatoa maoni. Huenda una maana tofauti.
Samahani Mkuu,nilikua naanisha "Shujaa"mimi ningemwona shujaa kama angewakamata wale waliokuja mpaka ofcn na kujitambulisha kama wauza shisha.
Na wakataka kumwonga kiasi cha fedha ili awalinde wasidhurike na maamuzi ya serikali.
Lakini yeye akawachekea na kuwaambia yeye ni Mtakatifu sana hapokei rushwa na kuwaacha jamaa wakaondoka!
Sasa hapo ushujaa wake upo kwenye matamko? Au angekuwa shujaa kwa kuwachukulia hatua watuumiwa jibu mzee mwenzangu.
Wewe unaonaje?
CCM ndio chanzo cha yote hayo,wacha wafu wazikane.Kila siku wapinzani wanapiga kelele juu ya reform ya jeshi la polisi mnawaona wapuuzi.Leo Makonda kazungumza kidogo mnakimbilia Jf kumuita shujaa,shame.Hv mmerogwaa au?Hao polisi wameanza pigiwa kelele toka lini?Si ndio mkawapa kiburi cha "kupiga tu"?toeni upuuzi,mnatukumbusha machungu
Unawez ukawa sahihi, kwamba angekuea "mpinzani" asingeonekana "shujaa" lakini kwa mtu alie ndani ya "system" unadhani Ni dawa kuishia kwenye kutoa shutuma peke yake?Ukiwa mpinzani unakuwa si shujaa, ni kituko ikiwa mpinzani hapingi.
Ushujaa ni kama alioufanya Makonda, yupo ndani ya "system" na ameweza kukisema chombo hicho hicho ambacho kinaogopewa na waliopo ndani ya "system".
Amma Makonda kavunja mwiko, amma amejitowa mhanga, amma haya ni mabadiliko ya kweli. Lolote linawezekana.
Unataka kusema nini hapo? Kwamba nchi iliingia kwenye regime ya kijeshi au? Au kwamba mfumo wa kijamaa/komunisti ambao ndio ulikuwa vision ya Nyerere haukuwa rafiki kama ule kikoloni?....
Hayo yaliisha mara tu baada ya kutangazwa azimio la Arusha.
....
Hebu kwanza leta maana ya Neno "USHUJAA" kama ulivyolitumia katika uzi wako kisha tutatoa maoni. Huenda una maana tofauti.
Ni kitendo cha kishujaa sana. Jwtz nao wako kikaangoni, askari wake wengi wanajifanya wababe kwa raia na barabarani, ukiwahoji wanaweza kukuchangia kukupiga, wanajenga ukuta na raia! Nidhamu ya uoga dhidi yao ma wananchi ndo kilichopo katikati!