Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,923
Nimeanzisha post yenye kichwa 'Nini Maana Ya Upinzani' na nimepata majibu mengi si chini ya kumi. Cha kushangaza nimeangalia sasa hivi ina majibu mawili tu? Je kuna mtu anafuta haya majibu hapa jamvini? Jamvi hili ni la kuchangiana mawazo na mengi ni ya kujenga na wengi wetu tungependeza kuyaendeleza. Naona kitendo cha kufuta majibu ya hoja sio kizuri. Kama mods ahawafanyi hivyo, basi wawe makini maana jamvi litakuwa limekuwa compromised.