Mungu wa ulimwengu
Member
- May 21, 2025
- 52
- 122
- Thread starter
-
- #21
Wewe tujibu?Ungekuwa unawasikiliza Walimu wako wa Sayansi na Jiografia badala ya kusugua na kuchoma wenzako na mbegu za ubuyu, wala usingeenda kutafuta majibu kwenye hizo hekaya za mashariki ya kati.....
Sasa hiyo hali nani kaumba?Mkuu giza kwa jina lingine ni void ,ni kwa sababu ya kutohoa lugha ila kitu ni kile kile
Darkness is a lack of light. Void is a lack of anything. Voids are usually portrayed as darkness because they lack light as well as substance; however, a true void would appear as a color [darker than black] .
Void is Darkness, but not all Darkness is Void.
Biblia imekosea tangu mwanzo wakeSasa hiyo hali nani kaumba?
You are the devil!Biblia imekosea tangu mwanzo wake
Njoo kwenye giza la kweli
Katika giza hilo kila kitu kilianza
Elisha my sonYou are the devil!
Maana yako unamtukuza na kumpa sifa huyo Lucifer?Lucifer
Mungu Ana roho????Roho ya Mungu
Hail the Prince,
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."
Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole
Hata sisi tulikuwepoyaliku
yalikuwepo
Yeye ndio ananitukuza na kunipa sifa mimiMaana yako unamtukuza na kumpa sifa huyo Lucifer?
Iyo hali ni hali ya uumbajiSasa hiyo hali nani kaumba?
Mkuu hujajibu swali langu?Yani unajiita Mungu wa ulimwengu halafu unatuuliza maji yametokea yapi..!!! ama kweli tukujibu kwa upole inaonekana kuna nyuzi kwenye ubongo wako zina shoti...🤣
kabla ya uumbaji, tulikuwepo katika mawazo ya Mungu Muumbaji wa mbingu na nchi.Hata sisi tulikuwepo
futa jina lako kwanza ndo tufikirie kukujibu!.Mkuu hujajibu swali langu?
Kabisa ndio maana ili uwe muumini wa hizo hadithi lazima wakutishe kwanzaUkitaka kuamini/kuelewa stori za vitabu vya dini inabidi ujizime data, ni stori fulani hivi za ki abunuasi, ili wakuvuruge zaidi wanakuambia huwezi kuelewa mpaka roho mtakatifu akushukie. Ni vitu vya kusadikika tu
Hivi ni kweli kabisa mnaona biblia ndio hakika ya majibu ya chanzo ya dunia🤔Sio kila kitu kimeandikwa kwenye Biblia