Iyo sio sababu ya kumuacha mayb akifka uko na kuanza kuzingua
Wewe ni yule yule ninaemjua?
Kama ukitafsiri mapnz ni kugegedana,distance love lazima iwe tatizo..Zaidi ya hapo sioni tatizo
kuruthumu mbona yuko mbali na mapnz yanaendelea..Kusaliti kupo..Ila hata nisaliti mara mia Upendo wangu kwake uko pale pale..Ila kabla ya kuchepuka uwa napiga prayers kwanzaWe baba kuruthumu umewahi kuwa na wa mbali? Mie siwezi aisee, nakusaliti hasubuhi na mapema.
kuruthumu mbona yuko mbali na mapnz yanaendelea..Kusaliti kupo..Ila hata nisaliti mara mia Upendo wangu kwake uko pale pale..Ila kabla ya kuchepuka uwa napiga prayers kwanza